Kwa nionavyo, mikoa inayoongoza kwa uvivu ni Lindi, Mtwara, Pwani na Tanga

Mkuu katika nchi yangu hii, mimi nishafika Mikoa takribani 25, hapa nakupa data za kujionea kabisa...
Katika hiyo mikoa mitano ya mwisho, Pwani na Kagera mna matatizo kwakweli, kwa maana wote mna Ardhi ya kutosha na yenye rutuba masoko yapo, wasomi ila dah...

Singida, Dodoma na Tabora ni kame, yaani kame kwelikweli...ndiyo maana hata haishangazi kuwaona hapo.
 
Hawaandikishi watoto!?
Wanaandikisha. Rate ya kumaliza form four ni ndogo na waliomaliza shule nzima inaweza kula yai (division zero)! Ndo maana nikasema hawapendi kusoma. Yaani ni nadra kukuta cheti cha form four kilichonyooka. Haimaanishi hawapo kabisa.

Shule zipo ndio maana mimi nimesoma huko! Kumbuka shule ya advance inachukua wanafunzi kutoka popote!
 
Hizi akili za kutaja makabila huwa mnazitoa wapi.
 
90% ya Watanzania hawafanyi kazi bali wanahangaika alimradi waendelee kupumua ndo maana 95% ya watanzania bado ni maskini wa kutupwa. Huwezi kuniambia mtu anaelima eka 20 za mahindi na kuvuna gunia 5 nae anafanya kazi au anaefuga mifugo mingi lakini hajui ni jinsi gani mifugo hiyo itamboreshea maisha nae anafanya kazi. Tofauti ya maisha ya mnaowadhania ni wavivu na mnaowadhania ni wachapakazi ni ndogo sana almost zero.
 
Wavivu hula mlo mmoja tena kwa kubahatisha, wachapakazi ni Milo mitatu tena ya kushiba...
Angalia hata afya zao....
 
Nyanda za juu kusini hasahasa Mbarali Wana ardhi yenye rutuba Sana. Kule mtu anaweza kulima bila mbolea wala dawa na akavuna vizuri Tu.

Kuhusu mvua nyingi hili nalipinga. Labda Kama haujatembea Sana nchi hii.
 
Wewe "kimilanzoka" ndege John,taratibu za uandishi zimekushinda?Punctuation!
 
Hapo unaolingana kwa uvivu ni Singida tu....
Tena wao ardhi yao ni kame,,

Pwani ina ardhi nzuri ila haitumiki....
Tabora,Singida na Dodoma,,,wanaangushwa na Ardhi zao tu.
Pwani mchanga tena hamna vumbi wala udongo labda uende wilayani wanapolima.
 
Wavivu hula mlo mmoja tena kwa kubahatisha, wachapakazi ni Milo mitatu tena ya kushiba...
Angalia hata afya zao....
Nyie wachafu mnaokunywa maziwa bila ya kuchemsha kamuangalie Nyanda kabundi ...
Kaangalie kuafya mpaka UKIMWI mnaongoza...watu mnakula ugali mmekuwa ngo'ombe ..Eti jaribu kuangalia afya kuanzia ngozi then mjifnanishe na nyie washamba weusi kama giza.
 
Arusha unaisifia kwakuwa ina vijana wa hovyo, kutwa kuvuta mabangi na kujiita WADUDU?
 
Nyanda za juu kusini hasahasa Mbarali Wana ardhi yenye rutuba Sana . Kule mtu anaweza kulima bila mbolea wala dawa na akavuna vizuri Tu.

Kuhusu mvua nyingi hili nalipinga. Labda Kama haujatembea Sana nchi hii.
Taja mkoa mmoja ambao haupo Nyanda za juu kusini ambao wewe unaamini una kiwango kizuri cha mvua cha mwaka....soma data zake za climate.
Halafu kaulinganishe na Mbeya
..
Mind you: In Geography, Mist, dew, Fog hizo zote ni forms of Rainfall.
 
Ila kweli mana ikitajwa mikoa maskin sn haipo utaskia kagera katavi tabora mara rukwa
Watu wa Pwani sio wavivu ni wakulima Hodari wa mazao ya kudumu kama miembe, mikorosho, michungwa na minazi.

Shughuli zao kubwa zingine uvuvi

Na mwisho hakuna kabila Tanzania laweza kuwashinda watu wa hiyo mikoa kwenye biashara ndogondogo wanaziweza hasa hata waanzilishi wa biashara za machinga ni kutoka Mtwara, wao ndio waanzilishi.
 
Pwani ndio ni mojawapo ya mikoa maskini Tanzania
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…