Kwa nionavyo, mikoa inayoongoza kwa uvivu ni Lindi, Mtwara, Pwani na Tanga

Kwa nionavyo, mikoa inayoongoza kwa uvivu ni Lindi, Mtwara, Pwani na Tanga

Sasa wilaya Moja ikashindane na mkoa?
Nonetheless, Mkuranga, Kibiti, Rufiji na Mafia tu ndio zina bahari. Mkuranga na Kibiti haziko mbali na bahari, zimepakana na bahari kabisaa.
Nataka unijibu, katika mikoa Masikini sana Tanzania, Simiyu, Singida na Kigoma je nao ni wavivu?
Mkuu katika nchi yangu hii, mimi nishafika Mikoa takribani 25, hapa nakupa data za kujionea kabisa...
20240411_010859.jpg

Katika hiyo mikoa mitano ya mwisho, Pwani na Kagera mna matatizo kwakweli, kwa maana wote mna Ardhi ya kutosha na yenye rutuba masoko yapo, wasomi ila dah...

Singida, Dodoma na Tabora ni kame, yaani kame kwelikweli...ndiyo maana hata haishangazi kuwaona hapo.
 
Hawaandikishi watoto!?
Wanaandikisha. Rate ya kumaliza form four ni ndogo na waliomaliza shule nzima inaweza kula yai (division zero)! Ndo maana nikasema hawapendi kusoma. Yaani ni nadra kukuta cheti cha form four kilichonyooka. Haimaanishi hawapo kabisa.

Shule zipo ndio maana mimi nimesoma huko! Kumbuka shule ya advance inachukua wanafunzi kutoka popote!
 
Nadhani mtwara inaongoza Tanzania kwa uvivu! Ni sehemu pekee ambako saa moja asubuhi unakuta wanaume wanacheza bao au wapo kwenye vijiwe vya kahawa.

Ni sehemu pekee maisha ya wenyeji wanashindia mlo mmoja na wanaona ni sawa. Ni sehemu pekee ambako hata ukitoa kibarua mwenyeji ukisha mlipa elfu 3 harudi kazini hadi aitumie iishe . Ni sehemu pekee ambao vikongwe ndio wanaenda shambani vijana wanazurura mtaani

. Ni sehemu pekee ambako mtu akilima robo heka anahadithia nina shamba kubwa. Ni sehemu pekee ambako wafanya biashara wenyeji wameridhika wanafungua maduka saa nne asubuhi. Ni sehemu pekee ukienda duka la mwenyeji na elfu kumi ukitaka kununu kitu cha elfu 4 unaambiwa sina chenji na unaondoka na hela yako vinginevyo ukatafute mwenyewe chenji.

Tunashkru wakinga kuingia mji huu vinginevyo tungenyanyasika sana na hela zetu madukani. Ila kwa penzi na chumvi ni mkoa rafiki kuliko mikoa yote. Karibu mtwara tufaidi watoto wa kimakonde kwa elfu 2 hadi kwa mkopo bila kujali ni msichana au mke wa mtu. Ila ukisha mtongoza au kumla atafanya matangazo mtaa mzima. Hawana siri
Hizi akili za kutaja makabila huwa mnazitoa wapi.
 
90% ya Watanzania hawafanyi kazi bali wanahangaika alimradi waendelee kupumua ndo maana 95% ya watanzania bado ni maskini wa kutupwa. Huwezi kuniambia mtu anaelima eka 20 za mahindi na kuvuna gunia 5 nae anafanya kazi au anaefuga mifugo mingi lakini hajui ni jinsi gani mifugo hiyo itamboreshea maisha nae anafanya kazi. Tofauti ya maisha ya mnaowadhania ni wavivu na mnaowadhania ni wachapakazi ni ndogo sana almost zero.
 
90% ya Watanzania hawafanyi kazi bali wanahangaika alimradi waendelee kupumua ndo maana 95% ya watz bado ni maskini wa kutupwa.Huwezikuniambia mtu anaelima eka 20 za mahindi na kuvuna gunia 5 nae anafanya kazi au anaefuga mifugo mingi lakini hajui ni jinsi gani mifugo hiyo itamboreshea maisha nae anafanya kazi.Tofauti ya maisha ya mnaowadhania ni wavivu na mnaowadhania ni wachapakazi ni ndogo sana almost zero.
Wavivu hula mlo mmoja tena kwa kubahatisha, wachapakazi ni Milo mitatu tena ya kushiba...
Angalia hata afya zao....
 
Mkuu,Nyanda za juu ndiyo inaongoza kupokea mvua nyingi kwa mwaka...yani Mbeya,Songwe,Rukwa,Njombe,Ruvuma...ni kuna Unyevu mpaka msimu wa kiangazi...

Ushawahi ona palizi za Maharage wewe zilivyo nyingi...day.
Pwani kilimo hawakiwezi....
Wewe wasema wasukuma, nenda Mbarali ukaone wakulima.
Nyanda za juu kusini hasahasa Mbarali Wana ardhi yenye rutuba Sana. Kule mtu anaweza kulima bila mbolea wala dawa na akavuna vizuri Tu.

Kuhusu mvua nyingi hili nalipinga. Labda Kama haujatembea Sana nchi hii.
 
Nimetembea kote Tanzania hii Mpaka kigoma nimefika ila asee usijiloge mikoa ya kusini ni hatari Sana kama ni mtu unayetegemea majamaa wakuletee maendeleo..

Watu wa huku wanakatisha tamaa Balaa yaani hata ukisema uwasaidie inakula kwako ila nafuu kidogo Mtwara Dangote amekuja kuchangamsha na Tanga kidogo kuna mchanganyiko wa watu sio kama singida au dodoma unaalikwa kiroho Safi ila sio Lindi Kwa wamwera aisee huku sio poa Dunia ya Lindi hakuna kabisa ukarimu unaenda kijijini kufanya kazi sehemu mtu hakupi hata dafu na ana minazi kibao sio kama mbinga au songea Kule utafaidi sana kibaya zaidi hakuna watu wa kufuga mifugo hakuna mtu anafuga hakuna nyama nyoma na kachumbari yaani ni shida.

Na kwanini mikoa iliyo nyuma wasipewe ma RC wachapakazi kama makonda, mtaka, chalamila.. Nashangaa mikoa mzuri kama Arusha wanapelekwa viongozi wazuri wa kuliamsha.
Wewe "kimilanzoka" ndege John,taratibu za uandishi zimekushinda?Punctuation!
 
Hapo unaolingana kwa uvivu ni Singida tu....
Tena wao ardhi yao ni kame,,

Pwani ina ardhi nzuri ila haitumiki....
Tabora,Singida na Dodoma,,,wanaangushwa na Ardhi zao tu.
Pwani mchanga tena hamna vumbi wala udongo labda uende wilayani wanapolima.
 
Wavivu hula mlo mmoja tena kwa kubahatisha, wachapakazi ni Milo mitatu tena ya kushiba...
Angalia hata afya zao....
Nyie wachafu mnaokunywa maziwa bila ya kuchemsha kamuangalie Nyanda kabundi ...
Kaangalie kuafya mpaka UKIMWI mnaongoza...watu mnakula ugali mmekuwa ngo'ombe ..Eti jaribu kuangalia afya kuanzia ngozi then mjifnanishe na nyie washamba weusi kama giza.
 
Nimetembea kote Tanzania hii Mpaka kigoma nimefika ila asee usijiloge mikoa ya kusini ni hatari Sana kama ni mtu unayetegemea majamaa wakuletee maendeleo..

Watu wa huku wanakatisha tamaa Balaa yaani hata ukisema uwasaidie inakula kwako ila nafuu kidogo Mtwara Dangote amekuja kuchangamsha na Tanga kidogo kuna mchanganyiko wa watu sio kama singida au dodoma unaalikwa kiroho Safi ila sio Lindi Kwa wamwera aisee huku sio poa Dunia ya Lindi hakuna kabisa ukarimu unaenda kijijini kufanya kazi sehemu mtu hakupi hata dafu na ana minazi kibao sio kama mbinga au songea Kule utafaidi sana kibaya zaidi hakuna watu wa kufuga mifugo hakuna mtu anafuga hakuna nyama nyoma na kachumbari yaani ni shida.

Na kwanini mikoa iliyo nyuma wasipewe ma RC wachapakazi kama makonda, mtaka, chalamila.. Nashangaa mikoa mzuri kama Arusha wanapelekwa viongozi wazuri wa kuliamsha.
Arusha unaisifia kwakuwa ina vijana wa hovyo, kutwa kuvuta mabangi na kujiita WADUDU?
 
Nyanda za juu kusini hasahasa Mbarali Wana ardhi yenye rutuba Sana . Kule mtu anaweza kulima bila mbolea wala dawa na akavuna vizuri Tu.

Kuhusu mvua nyingi hili nalipinga. Labda Kama haujatembea Sana nchi hii.
Taja mkoa mmoja ambao haupo Nyanda za juu kusini ambao wewe unaamini una kiwango kizuri cha mvua cha mwaka....soma data zake za climate.
Halafu kaulinganishe na Mbeya
..
Mind you: In Geography, Mist, dew, Fog hizo zote ni forms of Rainfall.
 
Ila kweli mana ikitajwa mikoa maskin sn haipo utaskia kagera katavi tabora mara rukwa
Watu wa Pwani sio wavivu ni wakulima Hodari wa mazao ya kudumu kama miembe, mikorosho, michungwa na minazi.

Shughuli zao kubwa zingine uvuvi

Na mwisho hakuna kabila Tanzania laweza kuwashinda watu wa hiyo mikoa kwenye biashara ndogondogo wanaziweza hasa hata waanzilishi wa biashara za machinga ni kutoka Mtwara, wao ndio waanzilishi.
 
Hivi ushawahi sikia mkoa wa Pwani una njaa wanahitaji msaada wa chakula?
Ushawahi sikia Pwani moja ya mikoa masikini zaidi Tanzania?
Umewahi kusikia Pwani watoto wana utapiamlo?
Uvivu huu mnaozungumzia walio nao mkoa wa Pwani (pwani per se) ni uvivu gani?
Au ni uvuvi ndio mnachanganya na uvivu?
Pwani ndio ni mojawapo ya mikoa maskini Tanzania
 
Back
Top Bottom