Kwa nionavyo, mikoa inayoongoza kwa uvivu ni Lindi, Mtwara, Pwani na Tanga

Hivi umeshawahi kufika kigoma na hiyo rukwa ukaone shughuli za kiuchumi za watu ulinganishe na mkuranga au chalinze au bagamoyo vijijini ?


Ubaya watoto wa kizaramo mkishacheza mangoma yenu mnadhani mikoani ni masikini tu.
 
Mkuu,Arusha wanaongoza kwa kuzalisha Mazao ya Maua hapa nchini.. Meru na Arusha mjini.

Arusha wana mifugo ya kutosha...Monduli na Longido
Arusha wana utalii wa kutosha.....

Na hapo hapo kumbuka Arusha kuna sehemu ni kame, lakini wamjiongeza.

Sasa uje ,Lindi yetu....dah
 
Hivi umeshawahi kufika kigoma na hiyo rukwa ukaone shughuli za kiuchumi za watu ulinganishe na mkuranga au chalinze au bagamoyo vijijini ?


Ubaya watoto wa kizaramo mkishacheza mangoma yenu mnadhani mikoani ni masikini tu.
Yani shida wengi wa wanaobisha hawajazunguka hii nchi...
 
  • Hahaha!!! Ikiwa kama hatuoni matunda ya kupiga kwao kazi, je tuendelee kuamini wanapiga kazi? Mkoa mzima una mji mdogo 1 (kijiji kilichochanamka), wao wanaita mji.
  • Suluhu si kupeleka kiongozi tu, bali ku-pump (kuhamasisha kwa kuwapa fursa sana, kama ardhi, n.k watu wengi sana kutoka bara), hasa makabila yanayopiga kazi kwelikweli.
 
Mkuu mikoa inayozalisha matunda kwa wingi Tanzania ni Tanga na Pwani.
Kila mkoa una kitu chake hivyo usituaminishe totaly kwamba hiyo mikoa ni useless.
Unabidi useme matunda gani mkuu,,,
Mana
Parachichi ni Mbeya na Njombe ndiyo mabingwa.
Ndizi ,Kagera,Mbeya,Arusha,Kilimanjaro zipo sana...
Peaches pia...
Maembe;bara Kuna maembe ya kwao pia..

Utaje specific matunda yapi...

Mada ni uvivu and siyo useless,,,bila kunena ukweli, ndugu zetu hawatojifunza.
 
Tanga imebarikiwa Kilimo cha Machungwa tu
 
Yah wasambaa[emoji846] Ni wapiga Kaz wazuri
 
Kwa sasa karibia mikoa yote iko hivyo labda Kilimanjaro ndio naona bado wanajituma kwenye migomba yao nao ni kwa sababu Dar inawabeba wana uhakika wa kuuza ndizi zao Dar na zinapendwa.
 
Sasa pwani Kuna Nini sana mpaka unambishia mtoa mada mkuu? Yaani ukienda kununua kitu dukani anakuuliza "ni hela inayohitaji chenji?, Kama ni hiyo basi usinunue mie Sina chenji"

Pwani ni wavivu sana sijaona...
 
Ila kweli mana ikitajwa mikoa maskin sn haipo utaskia kagera katavi tabora mara rukwa
Kipimo Cha Umasikini ni tofatuti na unavyozani.

Iwapo mkoa unaviwanda tayari si masikini ila watu wake ndio masikini. Mikoa ya Lindi watu wake ni masikini, mkoa wa pwani unaviwanda ila watu wake ni masikini. n.k.
 
Utapia mlo sio kukosa chakula tu.

Unakuta mtu amerundika magumia mia yaahindi ndani ila familia ina utapia mlo. Hii husababishwa na mambo mengi ikiwemo.
1. Uandaaji wa chakula.
2. Mda wa kula - Mikoa ya Bara Mingi wazazi wako busy na kazi hadi wanasahau kuwapa watoto chakula kwa mda sahihi
3. Usafi.

Hizo ni baadhi tu.
 
Lindi Kwa wamwera aisee huku sio poa Dunia ya Lindi hakuna kabisa ukarimu unaenda kijijini kufanya kazi sehemu mtu hakupi hata dafu
Ukiwataja watu wa Lindi majority huko ni Waislamu mkuu kua makini Misikiti ni mingi kuliko makanisa 90% nyumba za Ibada ni Misikiti ikifuatiwa na Kilwa na Mafia sijui ni Mkoa au ni Wilaya
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…