greater than
JF-Expert Member
- Sep 22, 2018
- 1,653
- 3,060
Uvuvi wenu ni wa samaki wa Nyumbani tu,shida ndiyo iko hapo...Yani samaki wenu wanaishia hapohapo, ukifika Moro hauwaoni..Ilala wachapa kazi!?..kumbe hata bila kutumia nguvu ni kuchapa kazi!?... mtwara na Lindi hawana korosho!?..hawavui!...hakuna mgodi ruangwa!?hakulimwi karanga huko!?
We mpuuzi kumbe,huko usukumani kila mtu analima zaidi ya ekari moja!?..mi mnyamwezi ujue,napajua vizuri huko kwetuUvuvi wenu ni wa samaki wa Nyumbani tu,shida ndiyo iko hapo...Yani samaki wenu wanaishia hapohapo, ukifika Moro hauwaoni..
Nenda Ziwa Victoria ukaone samaki...tena wanasafirishwa mpakan Arusha na Dar....
Shida kilimo chenu mwisho heka moja,,tena hapo mtu kajiongeza sana...
Mbegu hazipandwi kwa mstari,Matuta hamna...
Ukizungumza migodi, Nenda Mara na Kahama ukaone kazi....
Bila kusahau KageraSasa wilaya Moja ikashindane na mkoa?
Nonetheless, Mkuranga, Kibiti, Rufiji na Mafia tu ndio zina bahari. Mkuranga na Kibiti haziko mbali na bahari, zimepakana na bahari kabisaa.
Nataka unijibu, katika mikoa Masikini sana Tanzania, Simiyu, Singida na Kigoma je nao ni wavivu?
Yani nyie siyo kilimo tu,kila shughuli ya Uchumi umetangulizwa uvivu tu...Washamba wa bara mkilima inatosha ila muondoe utapiamlo.
Hawajui kuna sehemu ukifika unakuta Mzee/Wazee wanaoshinda kwenye bao tu muda wote unajiuliza hawa wanafanya kazi saa ngapi unasahau wanamiliki mahekari ya Ardhi yenye minazi ya kutosha yaan ni KUSUBIRI Lori tu kutoka Dar lije kuchukua MZIGOWatu wa bara wanataka ulime ndio umefanya kazi 😅😅
Kagera wana umasikini gani? Emu elezea vizuri maana naona mmeiganda sana wengine hawaujui umasikini wa Kagera upoje upojeBila kusahau Kagera
Tanga pale kuna mzee ana boti za uvuvi anapata mpaka laki 4 kwa siku ,ila ana wake watatu.Hawajui kuna sehemu ukifika unakuta Mzee/Wazee wanaoshinda kwenye bao tu muda wote unajiuliza hawa wanafanya kazi saa ngapi unasahau wanamiliki mahekari ya Ardhi yenye minazi ya kutosha yaan ni KUSUBIRI Lori tu kutoka Dar lije kuchukua MZIGO
Sawa mi mpuuzi,,,ila Ukweli lazima uwaaingie....We mpuuzi kumbe,huko usukumani kila mtu analima zaidi ya ekari moja!?..mi mnyamwezi ujue,napajua vizuri huko kwetu
Mkuu,Kagera ilitajwa hadi na Makamu wa Rais...Kagera wana umasikini gani? Emu elezea vizuri maana naona mmeiganda sana wengine hawaujui umasikini wa Kagera upoje upoje
Sasa mtu akikuta wamekaakaa tu anasema ni wavivu hawana kazi au hawafanyi kazi kumbe nyuma ya pazia watu wana assets za kutosha wanaishi kimwinyiTanga pale kuna mzee ana boti za uvuvi anapata mpaka laki 4 kwa siku ,ila ana wake watatu.
Pia anafanya udalali wa samaki na kwake samaki anapata bure .... Mwenyewe nilitaka kununua boti za uvuvi sema seria imeanza kutoa bure.
Wale wazeee wote wana pesa zao sio maskini.
Pwani gani unataka walime mpunga,utalima mpunga kwenye mchanga!?Sawa mi mpuuzi,,,ila Ukweli lazima uwaaingie....
Mashamba ya Mpunga Shinyanga yapo....
Tabora imekosa mvua tu na vyanzo vya maji....
Lakini Pwani vyote wanavyo hadi ni soko lipo ,bandari zipo...ila utendaji kazi hamna.
Wewe Pwani IPI umeishi Kibaha?Lakini Pwani vyote wanavyo hadi ni soko lipo ,bandari zipo...ila utendaji kazi hamna.
Mkuu,Tanga pale kuna mzee ana boti za uvuvi anapata mpaka laki 4 kwa siku ,ila ana wake watatu.
Pia anafanya udalali wa samaki na kwake samaki anapata bure .... Mwenyewe nilitaka kununua boti za uvuvi sema seria imeanza kutoa bure.
Wale wazeee wote wana pesa zao sio maskini.
Pwani yenye mchanga ni sehemu ndogo sana...Pwani gani unataka walime mpunga,utalima mpunga kwenye mchanga!?
Hao watu Wana Diaspora wengi wanaowatumia hela , hao Diaspora hasa hasa wapo Uarabuni.
By the way shughuli kuu ya watu wa mikoa hiyo ni uvuvi na shughuli hii hufanyika zaidi nyakati za usiku.
Kwa kifupi wakati wewe unarandaranda mabaani kusaka Malaya basi wao huwa baharini kupiga kazi.
Kingine inabid uwe Makin Sana ili uwaelewe hao watu maana unaweza kuchanganya " Uvivu" na " Uvuvi" ukashindwa kuwaelewa kwamba ni wavivu au ni wavuvi?
Hao wanapiga kazi mkuu ndio maana huwaoni kwenye orodha ya mikoa masikin Zaid nchini.
Nimekaa Wilaya ya Chalinze vijiji vya Hondogo na Mwidu...Wewe Pwani IPI umeishi Kibaha?
Yotemikoa ya Nyanda za juu
Tanga wavivu Sana wanaume ndo wanaongoza Kwa uvivu Na umbea