Kwa nionavyo, mikoa inayoongoza kwa uvivu ni Lindi, Mtwara, Pwani na Tanga

Kwa nionavyo, mikoa inayoongoza kwa uvivu ni Lindi, Mtwara, Pwani na Tanga

Ndio nakuambia huyo namjua ,wapo kibao wanamiliki minazi ,mashamba ya mihogo wanakaa town...Vijana sio rahisi kuwakuta mtaani wengi ni boaboda .

Pia kumbuka wana exposure kubwa tangu miaka ya 80's mwishoni kuzamia kwenda nje ,asilimia ya vijana wengi ni wa ukanda wa pwani huko nje. Pesa zinatumwa sana watu wanaishi.

Chakula cha kutosha tena aina tofauti ,huwezi kukuta utapiamlo kama kwenu wabara
View attachment 2960396
Takwimu chonganishi🏃
 
Na disco vumbi! Unakuta eti kitoto cha miaka saba nacho kinabambia mmama mtu mzima! wanapenda Shunguli na mziki! Kusoma ni no no, kuongea matusi ovyo ovyo... Utasikia baba wewe ka nsenge[emoji2][emoji2][emoji2]
Sawa kabisa,Ndo mambo ya wamwera wa Lindi Nachingwea,ni wavivu,majungu na uchawi,kila kukicha kuoa na kuachana na wanaona poa tuu,tabia mbovu za watoto kukosa malezi kutokana na kukosa misingi imara ya familia maana mama zao kila kukicha wanaolewa na kuachana,na baba wa kambo hana sauti juu ya watoto wa mke na juu ya masuala yote ya familia ,yaaani ni huzuni kwa kweli
 
Hivi ushawahi sikia mkoa wa Pwani una njaa wanahitaji msaada wa chakula?
Ushawahi sikia Pwani moja ya mikoa masikini zaidi Tanzania?
Umewahi kusikia Pwani watoto wana utapiamlo?
Uvivu huu mnaozungumzia walio nao mkoa wa Pwani (pwani per se) ni uvivu gani?
Au ni uvuvi ndio mnachanganya na uvivu?
si ndio hapo,wao wasio wavivu ndio wenye utapiamlo,ajabu
 
Nimetembea kote Tanzania hii Mpaka kigoma nimefika ila asee usijiloge mikoa ya kusini ni hatari Sana kama ni mtu unayetegemea majamaa wakuletee maendeleo..

Watu wa huku wanakatisha tamaa Balaa yaani hata ukisema uwasaidie inakula kwako ila nafuu kidogo Mtwara Dangote amekuja kuchangamsha na Tanga kidogo kuna mchanganyiko wa watu sio kama singida au dodoma unaalikwa kiroho Safi ila sio Lindi Kwa wamwera aisee huku sio poa Dunia ya Lindi hakuna kabisa ukarimu unaenda kijijini kufanya kazi sehemu mtu hakupi hata dafu na ana minazi kibao sio kama mbinga au songea Kule utafaidi sana kibaya zaidi hakuna watu wa kufuga mifugo hakuna mtu anafuga hakuna nyama nyoma na kachumbari yaani ni shida.

Na kwanini mikoa iliyo nyuma wasipewe ma RC wachapakazi kama makonda, mtaka, chalamila.. Nashangaa mikoa mzuri kama Arusha wanapelekwa viongozi wazuri wa kuliamsha.
Swala LA mikoa ya kusini, ni tamaduni na Mila, hawasathamini elimu,jamii haina msukumo wa elimu, kule ni unyago tu,
Mama ntilie wa kagera, anawaza Sana elimu ya mwanae, anajisghulisha sana kuhakikisha mtoto wake anafikia kiwango kikubwa cha elimu kadri uwezo wake utaksvyoruhusu, ansjisikia vibaya kuona watoto wa jirani wamefaulu wake wamefeli!
Jamii inakuwa na mshawasha kujua mtoto wa nani kafaulu, nani kafeli!
Kusini hakuna hiyo!uende shule poa, usiende poa, kule ni unyago tu, binti akipata mimba sio kesi! Binti asiporudi hm usiku,kaya inaona afueni mdomo mmoja umepata mwenzie, sehemu ya kula na kulala!
Tatizo LA kusini, ni by design wanasiasa wanapendelea wananchi wabaki maskini ili wawatawale kirahisi,
Juzi,nimeona clip wananchi wa singida wakisukuma V8 la waziri mbunge wao Mwigulu, umaskini wao umefikia kiwango kikubwa wanaona kugusa V8 ni, kama ufahari, kila MTU anapigania kuligusa!
Hakuna mwananchi anayeishi kwenye mitaa ya masaki, oysterbay, ambaye anaweza kupoteza muda wake kufanya ule upuuzi
 
Nadhani mtwara inaongoza Tanzania kwa uvivu! Ni sehemu pekee ambako saa moja asubuhi unakuta wanaume wanacheza bao au wapo kwenye vijiwe vya kahawa.

Ni sehemu pekee maisha ya wenyeji wanashindia mlo mmoja na wanaona ni sawa. Ni sehemu pekee ambako hata ukitoa kibarua mwenyeji ukisha mlipa elfu 3 harudi kazini hadi aitumie iishe . Ni sehemu pekee ambao vikongwe ndio wanaenda shambani vijana wanazurura mtaani

. Ni sehemu pekee ambako mtu akilima robo heka anahadithia nina shamba kubwa. Ni sehemu pekee ambako wafanya biashara wenyeji wameridhika wanafungua maduka saa nne asubuhi. Ni sehemu pekee ukienda duka la mwenyeji na elfu kumi ukitaka kununu kitu cha elfu 4 unaambiwa sina chenji na unaondoka na hela yako vinginevyo ukatafute mwenyewe chenji.

Tunashkru wakinga kuingia mji huu vinginevyo tungenyanyasika sana na hela zetu madukani. Ila kwa penzi na chumvi ni mkoa rafiki kuliko mikoa yote. Karibu mtwara tufaidi watoto wa kimakonde kwa elfu 2 hadi kwa mkopo bila kujali ni msichana au mke wa mtu. Ila ukisha mtongoza au kumla atafanya matangazo mtaa mzima. Hawana siri
Duh
 
Nimetembea kote Tanzania hii Mpaka kigoma nimefika ila asee usijiloge mikoa ya kusini ni hatari Sana kama ni mtu unayetegemea majamaa wakuletee maendeleo..
Kwahio wewe ndio unategemea watu wakuletee maendeleo alafu unawaita wavivu; Sasa wewe tukuite nani mnyonyaji ?
Watu wa huku wanakatisha tamaa Balaa yaani hata ukisema uwasaidie inakula kwako ila nafuu kidogo Mtwara Dangote amekuja kuchangamsha na Tanga kidogo kuna mchanganyiko wa watu
Wewe unawasaidia ili wakusaidie nadhani msemo wa Tenda Wema uende zako unakufaa zaidi
sio kama singida au dodoma unaalikwa kiroho Safi ila sio Lindi Kwa wamwera aisee huku sio poa Dunia ya Lindi hakuna kabisa ukarimu unaenda kijijini kufanya kazi sehemu mtu hakupi hata dafu na ana minazi kibao
Sasa sababu ana minazi kibao ndio akupe Nazi ? ; Ulijaribu kununua akasema hataki ? Sasa Uchoyo na Uvivu ni Sawa ?
sio kama mbinga au songea Kule utafaidi sana kibaya zaidi hakuna watu wa kufuga mifugo hakuna mtu anafuga hakuna nyama nyoma na kachumbari yaani ni shida.
Sasa unataka Nyama Choma sehemu ambayo huenda sio utamaduni wao ? Je umeulizia maji ya madafu ukakosa ?
Na kwanini mikoa iliyo nyuma wasipewe ma RC wachapakazi kama makonda, mtaka, chalamila.. Nashangaa mikoa mzuri kama Arusha wanapelekwa viongozi wazuri wa kuliamsha.
Nadhani kabla ya yote tungejiuliza Tofauti ya Uvivu, Werevu na Umasikini..... By the way unajua hio Mikoa ya Kusini tunayoona kwamba ipo nyuma ndio inatulisha ?

Nimekaa Wilaya ya Chalinze vijiji vya Hondogo na Mwidu...
Nimekaa Wilaya ya Kisarawe...huko Mwanzo mgumu.

Nishafika Wilaya ya Mkuranga,Kibiti na Bagamoyo zaidi ya mara 100 ....

Je,wewe ushakaa sehemu yoyote katika mikoa ya Nyanda za juu....?
ielezee mwanzo mgumu mkuu, naisikia sikia sana hii
 
Nimetembea kote Tanzania hii Mpaka kigoma nimefika ila asee usijiloge mikoa ya kusini ni hatari Sana kama ni mtu unayetegemea majamaa wakuletee maendeleo..

Watu wa huku wanakatisha tamaa Balaa yaani hata ukisema uwasaidie inakula kwako ila nafuu kidogo Mtwara Dangote amekuja kuchangamsha na Tanga kidogo kuna mchanganyiko wa watu sio kama singida au dodoma unaalikwa kiroho Safi ila sio Lindi Kwa wamwera aisee huku sio poa Dunia ya Lindi hakuna kabisa ukarimu unaenda kijijini kufanya kazi sehemu mtu hakupi hata dafu na ana minazi kibao sio kama mbinga au songea Kule utafaidi sana kibaya zaidi hakuna watu wa kufuga mifugo hakuna mtu anafuga hakuna nyama nyoma na kachumbari yaani ni shida.

Na kwanini mikoa iliyo nyuma wasipewe ma RC wachapakazi kama makonda, mtaka, chalamila.. Nashangaa mikoa mzuri kama Arusha wanapelekwa viongozi wazuri wa kuliamsha.
Ongeza Dodoma na Tabora
 
Ndiyo mana nkasema ishu siyo dini ila Mazoea ya wakazi husika...

Mana mfano Kagera ina ardhi nzuri,ipo mpakani,ina maji...ila ni Maskini wa kutupa,,kumbuka Kagera ina Wakristu wengi sana..makadinali wote wa Tanzania wametokea huko.
Issue kule hakuna viwanda. Hivyo uchangiaji kwenye taifa ni mdogo.

Mfano Dar hawalimi ila wako vizuri.
 
Issue kule hakuna viwanda. Hivyo uchangiaji kwenye taifa ni mdogo.

Mfano Dar hawalimi ila wako vizuri.
Sawa lakini....mikoa mingi haina Viwanda mkuu....
Yani,mkoa umepakana na nchi tatu
Mkoa una Ziwa Victoria
Mkoa una mito kibao
Mkoa una mvua nzuri
Mkoa umetoa wasomi kibao
Lakini bado Maskini....Wana Kagera kuna sehemu kuna tatizo.
 
IMG-20240409-WA0000.jpg
 
Back
Top Bottom