Uchaguzi 2020 Kwa press hii, Polepole anakivuruga chama, atafutwe mtu mwingine wa kufanya press

Pole pole ashukuru Mungu serikali ilibana vyama vya upinzani vingekuwa viko huru ka enzi za kikwete angepata tabu sana
Na sasa tunataka uhuru wetu udikteta basi sasa.
 
Uwanja ndiyo umeshajengwa na unatumika na watanzania na upo ndani ya Tanzania na hamuwezi kutufanya lolote.Wakiuongelea kwa kauli za ovyo tutasema vilevile ili hata wale wanaodanganywa wajue kwamba bado kuna watanzania wana chuki na mambo yanayofanyika ndani ya nchi yetu na yenye manufaa na nchi yetu .
 
Endeleeni kujibu spana tu....
 
Unawezaje kuwa JF kwa miaka 5 bila kuongeza ufahamu? Unajitangaza kwa yasiyohusika hapa? Sihitaji kujua kabila la mama yako! Ni msukuma, hongera basi!
Kwa hiyo unadhani Magufuli angetaka kuiba pesa za serikali alihitaji kupitisha pesa kwenye ununuzi wa ndege? Awamu ya 4 nchi hii ilinunua nini? pesa zilikuwa zinapelekwa wapi? Watu walisafiri dunia nzima na hakuna aliyehoji matumizi ya safari hizo.

Tatizo unaonesha udhaifu kwa kuimba wimbo wa watu wadhaifu wenzako. Wakisema ndege hatuzitaki, nawe unauliza hayo hayo. Unaanza kuhisi eti kwenye manunuzi kuna upigaji, hujui kwamba awamu ya 4 ilishindikana kununua ndege moja tu, kwa kuwa tu Boeing walikataa mtu wa kati. Acha kuropoka usiyoyajua. Ndege hainunuliwi kama shati!!
 
Kaniacha hoi kutetea 20,000 ya vitambulisho vya machinga wakati Raisi mwenyewe kaomba poo kasema si lazima πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚
Kuna Mkuu wa Mkoa aliondolewa kwenye nafasi kwa kuwa Mkoa wake uliuza vitambulisho vichache!!!!
 
Jibu chato....
 
Braza Kama bado hujaoa ebu fika mbeya nikupatie dada wa kinyakyusa buuuuuureπŸ€—
 
Hivi CCM imekosa watu wa kufanya uenezi? Mtu hakijui chama, hajakulia ndani ya chama iweje leo apewe kazi ya kukitetea na kukijenga? Sasa huku ni kujenga?
Eti kwa vile ni tiss basi inatosha hiko chama kajaza matiss humo badala ya makada wa ccm, wao wanajari maguvu yao, tena maguvu yenyewe kwa vile polisi na jeshi lao, sasa upepo umebadilika, namna kutumia watu wasiojulikana imeshindikana.
 
Yaani hapo umesahau tu kuiponda stiglers gorge ili list yako ikamilike.
 
Ninacho amini, Polepole na Bashariru watakuja kujisifia kama walitumia utaalamu wa hali ya juu kuiuwa CCM kwa sababu ilikuwa inadunisha maendeleo.
 
Akitolewa na kuletwa anaefit si ndio kifo chenu cha mapema?

Kubalini tu PolePole anaitendea haki ofisi yake kiasi mnakosa nn cha kumpinga. Leo Hansard na taarifa ya CAG kawapa. Nasubiri mui-challange kitaalam sasa.
 
Na changamoto kubwa ni kuwa anahisi anapatia sana kumbe anaharibu sana tena sana.

Hizi ni hela za wananchi.

Ila kuna siku yote haya yatakuwa wazi
Hebu tuelezee uharibifu wake nasie tuuone hapa.
 
Wacha kupanic braza, ukijitigiza sidano itakatia tulia
 
Nilishaacha kumsikiliza polepole siku nyingi. Lazima niitendee haki nafsi yangu. Akili yangu haishibishwi na uropokaji wa dogo huyu mchumia tumbo.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…