Kwa sasa sipo tayari kuolewa, nahitaji kufanya mambo yangu

Makiseo nitakuchapa acha fujo haraka [emoji1787]
Cha ajabu zaidi ni kipi hapo sasa, hujawahiona ajali zitokeazo kila siku za magari lakini bado tu Watu hununua na kupambania ndoto hizo hizo za kumiliki magari[emoji848]

Ubinadamu ni kazi/The humanity is a work.
 
unaweza kuwa na pesa na ukawa fala vile vile, all nice guys are idiots
Hapana tumekubaliana kwamba ukiwa na pesa ndio una akili na maarifa, lakini ukiwa masikini hata uwe na maadili wewe ni mpumbavu tu, ndio maana nikakuuliza ni universal law gani inayoamua kwamba kwamba fulani ana akili na fulani mjinga
 
Hahaha Makiwendo hebu njoo uone hizi akili za wanaume wa jf, sasa katika muktadha huo kati ya wanaume na wanawake ni kina nani wana uhitaji zaidi na ndoa, yani kwa kutumia huo mfano wako kati ya gari na dereva nani anayemhitaji zaidi mwenzake
 
Sasa kweli tusipowaoa mtaishi vipi?
Hata mzazi mtoto anaweza kumuudhi na akamtandika lakini haimaanishi hampendi.

Tusipooa wanawake watateseka na msongo wa mawazo, Mungu anasema tupendane.

Mwanaume anapambana kazini kwenye mazingira magumu ya kazi ili familia ipate chochote ila nyie hicho hamuwezi, mwanaume akifulia tu ni matusi, dharau kumvunjia heshima.

Kiukweli mwnamke bila mwanaume maisha ya mwanamke yatakua ya hovyo, na hatoheshimika hata mtaani, huna mtoto, huna mme, unaishi ndani peke yako, wanawake mnatuhitaji sana sema hamsemi tu. Siku tukiweka mgomo wa kutokuoa mtajinyonga.
 
Je na takwimu za wanawake wanaohitaji kuolewa pia inapanda au inashuka
Tafiti ya kisayansi unaweza google, mwanamke ambae katika maisha yake hajawahi kupata mtoto yupo kwenye uwezekano wa hatari kubwa ya kupata kansa ya ovary, ieleweke kwamba mwanamke ambae amezaa watoto kadhaa au mtoto huwa wanakua na mzunguko wa hedhi mchache. Sasa wewe maisha yako yote kuanzia usichana hadi uzee unakuwa kwenye mzunguko kila mwezi, yaani hupumziki miaka na miaka lazima uwe kwenye uwezekano wa kupata matatizo ya uzazi, hio ni research ya Nationa Cancer Institute, USA, unaweza bishana nao mkuu.



Hivyo mwanamke ambae hajawahi kuzaa kuna hatari ya uwezekano kupata matatizo ya kiafya.

Mpaka hapo umeona umuhimu wa mwanaume.

Nyie fanyeni yote ila mwisho mtatutafuta tu na mnatuhitaji sana tu, sasa tukianza kuringa timaweza pelekea mkapata maradhi, na sisi hatupendi kuona mnateseka bure, ndio maana wengine mtaani tunaamua kiwasaidia kuwapa watoto kiroho safi, haiwezekani ukose mme na mtoto ukose, kwanza ni hatari kiafya kukosa mtoto.
 
Ndio maana nasema hizi ni propaganda kama propaganda nyingine tu yani toka enzi na enzi mmeaminishwa kwamba mwanamke bila mwanaume hawezi ila mwanaume bila mwanamke ndio anaweza, mkuu hivi kwa kuangalia uhalisia pamoja na jinsi single mothers wanavyopambana kulisha na kusomesha watoto wao bado mnahisi hawawezi bila wanaume, je wanaume mkiachiwa watoto wadogo mnaweza kuwalea bila kuhitaji msaada wa wanawake (bila kujali ni mama watoto au la) au mkiachiwa nyumba mnaweza kuhandle majukumu bila kuhitaji msaada wa ke
 
Nionyeshe zilipo bikra niende mkuu
 
Mkuu mimi hakuna mahali nimeongelea umuhimu wa kuzaa kwa mwanamke bali nimeongelea umuhimu wa ndoa kwa mwanamke, kiuhalisia wanawake wanahitaji zaidi watoto kuliko ndoa na mwanamke kuzaa siyo lazima awe na ndoa siku hizi wala hawaogopi kuitwa single mothers ni wanaume ndio mnaforce usingle mother uonekane mbaya ili wanawake waendelee kuona umuhimu wa ndoa ambao kiuhalisia haupo kwao, hivi katika dunia ya leo ambayo wanaume hadi wanadonate sperms na wanawake wanazaa kwa kuchukua hizo sperms bila hata kujali identity wala origin ya hao sperm donors ndio mnasema eti bila ninyi hawawezi mbona mnajifariji sana
 
Huyo ni malaya

Unakuta anatombesha kwa wanaume wengi na anataka aendelee kula hela zao so anataka uhuru, hataki kuolewa.

Huwa wakishagonga 27+ na mvuto kupungua au kuisha na labda wamekuwa single moms na kuona wanaume hawavutiwi nao kama zamani ndio huanza kuhangaika kupata wa kuwaoa

Good news ni kwamba mwisho wa siku huwa wanaolewa na wanaume ambao sio wa ndoto zao na low value men
 
Hakuna majukumu ya nyumbani mwanaume anashindwa kufanya, kuanzia kupika, kulea watoto hadi usafi.
Sema muda wa utafutaji unabana, mimi mtoto niliyemzaa mwenyewe, damu yangu na uchungu nae siwezi kushindwa kumsafisha akijisaidia, kumpikia chakula akiwa na njaa, kumpeleka clinic , kumfulia nguo, kumfunga nepi n.k, kwa sababu ni mtoto wangu.

Hata kumbeba mgongoni nabeba ni damu yangu siwezi acha mtoto mchafu, ana njaa kwanza roho itaniuma.

Tatizo mnadanganyana huko saloon wanaume hawawezi kufanya hizo kazi za kirembo. Kazi anazofanya mwanaume hawezi shindwa kufanya kazi za nyumbani.



Licha ya hivyo unaweza kutafuta mtu akusaidie kazi ukamlipa kama huna muda.

Naendelea kusema mwanamke pasipo mwanaume kuna kitu hakitokua sawa kwenye maisha yake.
 
Nice guy anatokeza dakika za majeruhi maku imeshachakazwa na kumwagiwa mbegu za kila aina..
 

Attachments

  • IMG_20240515_174321.jpg
    53.6 KB · Views: 10
Bado naendelea kusema hizi ni propaganda kama propaganda nyingine tu yani unaongea kana kwamba ni rahisi na wanaume wote wanafanya hivyo, mbona wanaume wengi hawafanyi hayo unayosema na ni lazima wawahitaji mama wa hao watoto au wawaajiri wasaidizi wa kazi za nyumbani ambao ni wanawake, sasa kama ninyi mnaona muda wa utafutaji unawabana mbona huwa mnataka wanawake wawasaidie kutafuta pesa na bado wafanye majukumu ya nyumbani je wao muda wa utafutaji ndio hauwabani na ukizingatia wanawake wengi huwa wana multi task bila uwepo wa wanaume kwenye maisha yao hiyo nayo imekaaje hapo
 
Anamtafuta ye ndo anayeoa au anaolewa? mtatafuta sana.
 
Wanawake wengi hawapendi hio style ya uzazi.
Kwa hio mtoto ukimzaa kama ni jina lake ni John utamuita John Sperm? Je huyo mtoto akikua utamuambia wewe nilienda kununua sperm dukani baba yako simjui, na huyo mtoto anapokua anaona wenzake wana baba halafu unakuja kumuambia we baba yako ni kikopo cha sperm nilinunia dukani?

Mambo mengine haya make sense huo uzungu hata wazungu wenyewe hio njia hawa prefer ni wachache sana na kwa sababu maalumu, na wanakua tayari kwa misukosuko mbeleni huko.

Si bora aje nimpe mimba kesho mtoto akiuliza baba yupo wapi atamleta nilipo.
 
Aisee dada unalipwa kubishana na watu humu jf
 
Anayelipa kodi ya nyumba nani, anayelipa ada ya shule, pesa ya chakula n.k, wanaume wanatoa sehemu kubwa ya kipato chao ku provide kwa ajili ya familia, ukikuta familly mwanamke anatoa hata 30% ujue huyo mwanamke wa kipekee.

Familia nyingi asilimia zaidi ya 90 mtoaji ni mwanaume.

Hapo unataka afue, afanye usafi, akae na watoto n.k umekuwa malkia au rais, mwanamke kazi za nyumbani ni halali kwake.

Ndio maana wana tabia huwa wanataka kuolewa na mwanaume anayemzidi uchumi ili tu baadhi ya majukumu amuachie mwanaume.

Kama mnaona hatuwezi kazi za nyumbani katafute pesa nikae nyumbani kama hutakuta nimepaka hadi rangi paa la nyumba. Nyie naona mnacheza.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…