God Fearing Person
JF-Expert Member
- Apr 5, 2020
- 767
- 2,570
Mkuu msaada ambao huwa natoa ni kwa ajili ya kusapoti jamii so ukiwa interested tukutane Kama upo DSMNaomba huo msaada niongezee mtaji wangu.!!
Mawazo ya kijinga Sana hayo uliyonayoSi ndio nyinyi mnajipapasaga viungo halafu mnapiga kelele!, muwe mnatokaga nje hata kidogo muache kukaa ndani kama utumbo!
Unazingua tangazo la ninitangazo hali hitaji maelezo
Mawazo ya KIJINGA.watu wa forex na betting hamuishiwi vituko
wewe ndo unamawazo yakijinga maana nikikuambia unitafsirie nilichoandika hapo utapoteana tu!Mawazo ya kijinga Sana hayo uliyonayo
Nipe somo mkuu namie nitulie homeWakuu.
Mimi ni mmoja ya watu ambao huwa nafanyia Kazi zangu ndani.
Mimi Kazi zangu ni za masoko kununua na kuuza.
Hivyo huwa natafuta wateja wa bidhaa kipitia online .
So Mimi kwa siku naweza kuigiza wastani wa 100K sawa na mil 3 kwa mwezi.
So Kutokana na jamii kuwa na mtazamo tofauti wamejikuta wakifikiri Mimi naishi kwa ujanja au natumia ndumba.
Mbaya zaidi natembelea gari Kali , na huwa natoa misaada mbali mbali kwa watu.
So vijana Kazi za nguvu zinaelekea mwisho jitahidi ujue skills mbali mbali.