Kwa sisi ambao huwa tunafanyia kazi ndani , jamii inatutafsiri tofauti sana

Kwa sisi ambao huwa tunafanyia kazi ndani , jamii inatutafsiri tofauti sana

Itachukuwa muda, lakini baadaye jamii itakuja elewa kuwa kupata pesa halali si mpaka ukapigike juani.
 
Mzee wa ku-stake hapa, nashindia ghetto napambana na muhindi, majirani walianza kunisema mara ooh mario anabebwa na demu ake, walivyoijua kazi ya dem ni ya chini haiwezi lipa hata kodi ya pango napoishi, wabadili mada atakuwa anauza unga huyu na me sisemi neno nawachora tu wanavyohangaika na maisha ya kubangaiza
 
Hii ya kwako imekaa kibingwa.
 
Mkuu skills niazozungumzia hapa ni kufanya marketing and sales .

Hapa DSM kuna kampuni kubwa nafanya nayo Kazi malipo yapo katika mfumo wa Aslimia .

So ndo Kazi hasa nafanya kwahiyo nimeajiriwa na kampuni moja pia nafanya kazi na kampuni tatu kwa malipo ya camission

So Kazi hizi 90% ya wateja nawapata mtandaoni hivyo sihitaji kutoka nyumbani .
Aaah dah! kazi ngumu hizo yaani bora uwe unabeba ndoo ya zege kutoka flow ya kwanza mpaka ya kumi ghorofani
 
Sasa si ameandika wanamchukulia vibaya sa mi nikadhani hivyo
Okay wengi wanadhan hivyo.....

Lakini sidhani km unaweza ajiri punga Tena wale mlenda hutothubutu

Wapo house boy wanapiga kazi hizi fresh tuu!

Mapunga yanaogopa mchana juu ya watu na kujikirimu kwingi

Kuna mmoja nimemwona posta Juzi, yaan nywele Katia wave hv surual kavaa hizi light and soft trouser aseeh..... So bad mkuu!
 
Unatakiwa kuwa na ka kazi cha kuzuga zuga.
Siku pakitokea matukio ya uhalifu,usitajwe.
 
Okay wengi wanadhan hivyo.....

Lakini sidhani km unaweza ajiri punga Tena wale mlenda hutothubutu

Wapo house boy wanapiga kazi hizi fresh tuu!

Mapunga yanaogopa mchana juu ya watu na kujikirimu kwingi

Kuna mmoja nimemwona posta Juzi, yaan nywele Katia wave hv surual kavaa hizi light and soft trouser aseeh..... So bad mkuu!
Ayaah! Sitaki kusikia habari za hao watu utaniharibia siku
 
Back
Top Bottom