Wakuu.
Mimi ni mmoja ya watu ambao huwa nafanyia Kazi zangu ndani.
Mimi Kazi zangu ni za masoko kununua na kuuza.
Hivyo huwa natafuta wateja wa bidhaa kipitia online .
So Mimi kwa siku naweza kuigiza wastani wa 100K sawa na mil 3 kwa mwezi.
So Kutokana na jamii kuwa na mtazamo tofauti wamejikuta wakifikiri Mimi naishi kwa ujanja au natumia ndumba.
Mbaya zaidi natembelea gari Kali , na huwa natoa misaada mbali mbali kwa watu.
So vijana Kazi za nguvu zinaelekea mwisho jitahidi ujue skills mbali mbali.