Kwa sisi ambao huwa tunafanyia kazi ndani , jamii inatutafsiri tofauti sana

Nipe odds mbili mwanawane ..hii nasikia bonge la biashara ukiwa na mtaji wakitosha
 
Unatusimanga.

Kuna jamaa kaomba aniunge LBL☺️ NIKABAKIA KU MTIZAMA TU.
 
Aaah dah! kazi ngumu hizo yaani bora uwe unabeba ndoo ya zege kutoka flow ya kwanza mpaka ya kumi ghorofani
Kila mtu na style yake ya kutoka kimaisha. Maisha yangu mimi pia kama ya jamaa hapo sema sifanyi anachokifanya yeye maana hizo zilinishinda.
 
Tuna kazi ngumu sana kwakweli.
 
Mkuu kama unatoa msaada basi Kuna mtu ni muhitaji ni mlemavu kama utaguswa nikupe namba ya muhusika!

Wapeni vitu nanyi mtapewa
 
Na hiyo online model training ikoje
Unakuwa unapitia response za chat bot unazirekebisha au kuzpolish ziwe bora zaidi au unaangalia kama imevunja kanuni ilizowekewa kwa kuwa tricked na mtumiaji. Mfano mtumiaji kuitrick chatgpt imweleze jinsi ya kutengeneza bomu kwa kutumia vifaa vya nyumbani, akiuliza directly inaweza isijibu lakini akaitrick.
 
Kazi za mitulinga hazitakwisha ndugu, kufanya kazi ndani ama kutojulikana unachofanya si Jambo geni.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…