Kwa tabia hii una tofauti gani na Ibilisi?

Una jitetea bwana ibilisi
Taja jambo moja ambalo ibilis kafanya na mm nakuwa anauofanya binadamu picha limenza kala tunda kaambiwa usile tunda yeye kala baada ya kula tunda akawa uchi unadhani wazinifu wa sasa walipata ujasiri kama sio kwa baba yao adam alipoambiwa usile yaan usifanya yeye anfanya
 
Nimeshtuka kuona comment inasema kuwa mwenyezi mungu alikosea ila kuangalia jina la ID basi sikuendelea tena kushtuka

Sent from my TECNO KB7j using JamiiForums mobile app
 
Mkuu sio kila kitu utie neno hata usiyoyajua, ibliys alikuwa mkazi kati ya malaika na kile ambacho allah aliwaeleza malaika ndio haki tunayoishuhudia hivi leo, wao walidhani wote ni watiifu kumbe kati yao kuna kiumbe mwenye kiburi kisicho na mfano, na usichokijua ni kuwa ibliys alimchukia aadam hata kabla hajapuliziwa roho na ndio maana baada ya kugoma kumsujudia alipoulizwa badala aombe msamaha yeye anatoa ahadi ya kumpoteza aadam na kizazi chake kuonesha ukubwa wa husda yake juu ya wanaadam na baba yao.Hivyo madhambi anayotenda mwanaadamu ni kutokana na ushawishi wa huyohuyo Iblis Bin Shetan mwenzio.

Mwisho usimpangie allah cha kufanya yeye haulizwi kwa yale anayoyafanya lakini sisi tutaulizwa, kwahyo kabla ya kumpangia allah na kumuhoji kwanini amemtukuza mwanaadamu, wewe andaa majibu ya maswali kuhusu maisha yako hapa duniani.
 

Nimeshtuka kuona comment inasema kuwa mwenyezi mungu alikosea ila kuangalia jina la ID basi sikuendelea tena kushtuka

Sent from my TECNO KB7j using JamiiForums mobile app
Mungu ana sifa zote uazozijua ziwe mbaya au nzuri
 
Swadakta Al akhy
 
Mkuu hizi ni ngano na hekaya tu. Chanzo cha wanadamu wote siyo Adam. Kama adam alikuwa binadamu wa kwanza nipe sababu ya kwanini wengine ni weusi wengine weupe
 
NIpe ushahidi wa andiko iblis alimchukia adam kabla ya kupuliziwa roho
 
Mkuu hizi ni ngano na hekaya tu. Chanzo cha wanadamu wote siyo Adam. Kama adam alikuwa binadamu wa kwanza nipe sababu ya kwanini wengine ni weusi wengine weupe
Mkuu Kwanza bilashaka unajua kuwa Mwenyezi Mungu akitaka Jambo huliambia kuwa na likawa au sio?

Mwenyezi Mungu anasema ametuumba mataifa mbali mbali na rangi mbali mbali ili tufahamiane Tu Ila mbora wetu ni Mcha Mungu.

Sasa kama Mungu kaumba ulimwengu wote huu mkuu,je rangi ndio iwe tatizo?
 
Maneno ya mkosaji

Loser!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…