Kwa tabia hii una tofauti gani na Ibilisi?

Ndio mitihani hiyo ya maisha mkuu.

Nakumbuka baada ya Magu kuingia madarakani akawatupa baadhi ya watu mikoani.

Baadhi wakawa humble akawarudisha na kuwapa madaraka makubwa.

Wakati mwingine unashushwa ili upandishwe.
 
Haya mambo mi naonaga ni kama tunapigwa changa la macho tu.
 
Shukrani Al akhy nimejifunza kitu hapo

Asante sana
 
Kwanza sijui kawaza nini mpaka kajiita Ibilisi yaan anajinasibisha na adui mkubwa WA Allah
 
Al akhy ulipwe malipo stahiki Kwa mambo matamu unayotupa wallah tunastafidi Sana mkuu
 
Ndio mitihani hiyo ya maisha mkuu.

Nakumbuka baada ya Magu kuingia madarakani akawatupa baadhi ya watu mikoani.

Baadhi wakawa humble akawarudisha na kuwapa madaraka makubwa.

Wakati mwingine unashushwa ili upandishwe.
Kweli mkuu
 
Afadhali umelisemea na ndio maana ilibidi nimuulize alichonipa ni jibu la swali au laa, manake twahusiwa kujipamba na mazuri yeye kajipa jina baya akidai nia
 
Ma shaa allah, allah akuhifadhi
 
Kwanza sijui kawaza nini mpaka kajiita Ibilisi yaan anajinasibisha na adui mkubwa WA Allah
Tuna vijana ambao baada ya kupata maarifa fulani wanatakabbar na kujiona wanaweza kuhoji chochote na kumuhoji yeyote akiwemo allah سبحانه tena bila uoga hata chembe, basi kwa hilo wanafanya wanayoyataka wao ikiwemo hilo unalosemea.
 
Afadhali umelisemea na ndio maana ilibidi nimuulize alichonipa ni jibu la swali au laa, manake twahusiwa kujipamba na mazuri yeye kajipa jina baya akidai nia
Matumizi mabaya ya hadithi za mtume swala na amani ziwe juu yake, hadithi inasema hakika matendo yote huzingatiwa kwa nia, kwa maana malipo yake yatapatikana kwa lile ulilonuia, so umenuia nini kizuri kwa kujiita ibliys mwana wa shetani?.

Hapo ndio nukta ya mzozo.
 
Hakika, allah amlipe kwa muda wake, yan natamani kila siku kuwe na nyuzi za hivi nae atusomeshe ma shaa allah , allah amemfahamisha mengi
اللهم لا تؤاخذني بما يقولون، واغفر لي ما لا يعلمون ،واجعلني خيرا مما يظنون
 
malaika huwa hasemehewi . wewe ungekuwa huli, hunywi,hulali,huchoki,hunahisia za mapenzi,huna haja na hela, huoi, haufi, nk utafanya dhambi gani sasa?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…