Kwa takwinu hizi, Yanga kutolewa ni haki, ingeitoa Mamelodi ndio isingekuwa haki, Mamelodi alikuwa timu bora

Tulishuhudia mechi wote, Yanga walikuwa wamezidiwa kila idara na Mamelodi
Yanga walichofanya ni kupaki basi kubutua butua, kucheza rafu kwa dakika zote na kubahatisha shuti moja ambalo ndio wanalolalamikia walinyimwa goli

Kwa mashabiki tunaopenda kuona soka, tunataka timu bora ishinde, sio kubahatisha, hata Penalti walishindwa kupiga

Mamelodi ndio alikuwa timu bora na alistahili kushinda

View attachment 2955417
Yanga hakuwa na 3 keys/potential players ulitaka ajuaje ubora wa kipa wa Mamelody Sundowns?

*Hujui Pacome anavyopasuaga ngome yoyote ya mpinzani?

*Huonagi Aucho anavyokamataga dimba kuzuia pass penetration zozote?

*Yaoyao je kupandisha timu kimashambulizi na kuwahi kurudi nyuma kukaba?

*Man City hutafuta ushindi kwa tochi akikosekana De Bruine tu, kwani haina kikosi kipana?

*Masambwanda SC ni wepesi sana Yanga kafichua udhaifu wao rasmi 05/04/2023.

Sent from my CPH2387 using JamiiForums mobile app
 
Unapaki basi dakika tisini, unakuja kutolewa kwa Penalty, si bora ufunguke tu unaweza kushinda.

Ukitoa Chelsea ya 2012, sijawahi kuona timu nyingine iliyowahi kuchukua ubingwa kwa kupaki bus.

Utopolo takataka kabisa!
Yanga hakuwa na 3 keys/potential players ulitaka ajuaje ubora wa kipa wa Mamelody Sundowns?

*Hujui Pacome anavyopasuaga ngome yoyote ya mpinzani?

*Huonagi Aucho anavyokamataga dimba kuzuia pass penetration zozote?

*Yaoyao je kupandisha timu kimashambulizi na kuwahi kurudi nyuma kukaba?

*Man City hutafuta ushindi kwa tochi akikosekana De Bruine tu, kwani haina kikosi kipana?

*Masambwanda SC ni wepesi sana Yanga kafichua udhaifu wao.

Sent from my CPH2387 using JamiiForums mobile app
 
Unapaki basi dakika tisini, unakuja kutolewa kwa Penalty, si bora ufunguke tu unaweza kushinda.

Ukitoa Chelsea ya 2012, sijawahi kuona timu nyingine iliyowahi kuchukua ubingwa kwa kupaki bus.

Utopolo takataka kabisa!
Chelsea SC hata 2021 vs Man City alipaki basi na alibeba kombe la UEFA champions league, endelea kukariri ball possession pekee bila ya tactics, techniques, winning mentalities, team spirits ili uendelee kukandwa 3-0 na Al Ahaly miaka yote Kungwi Makolokolo wewe [emoji16]

Sent from my CPH2387 using JamiiForums mobile app
 
Unapaki basi dakika tisini, unakuja kutolewa kwa Penalty, si bora ufunguke tu unaweza kushinda.

Ukitoa Chelsea ya 2012, sijawahi kuona timu nyingine iliyowahi kuchukua ubingwa kwa kupaki bus.

Utopolo takataka kabisa!
Inter Milan FC ya Mourinho.
 
Mimi naona jumatatu mashabiki wa yanga waandamane kwenda kwa mama kama kawaida yao ili apate kulitazama na hili haiwezekani wananchi wanyonge wananyang'anywa haki yao kwa nguvu.
 
Tulishuhudia mechi wote, Yanga walikuwa wamezidiwa kila idara na Mamelodi
Yanga walichofanya ni kupaki basi kubutua butua, kucheza rafu kwa dakika zote na kubahatisha shuti moja ambalo ndio wanalolalamikia walinyimwa goli

Kwa mashabiki tunaopenda kuona soka, tunataka timu bora ishinde, sio kubahatisha, hata Penalti walishindwa kupiga

Mamelodi ndio alikuwa timu bora na alistahili kushinda

Nakala iwafikie..

Tate Mkuu Kichuguu kiwatengu Megalodon Scars zipompa Labani og
 
Mpira ni magoli. Yanga walipata goli, refa akalimezea, wala hakutaka kujishughulisha kuthibitisha kuwa ni kweli ni goli.

1712415959113.png
 
Huyo jamaa yako ni mbumbumbu asiyejua mpira. Kama Yanga ingekuwa imezidiwa, basi ingefungwa magoli ya kutosha ndani ya dakika 90! Au ingekoswa magoli mengi ya wazi! Jambo ambalo halikutokea kwa wakati wote wa mchezo.

Kilichotokea kwa Yanga ni kuwaachia tu Mamelodi kucheza mpira, na wenyewe kuwashmbulia kwa kuwashtukiza! Mbinu ambayo ilizaa matunda kwa shuti kali la Aziz Kii, na pia kwa assist ya Aziz Kii huyo huyo kwa Mzize; ambaye kwa papara zake akakosa goli lingine la wazi.
 
We kweli matako.
Kwahiyo chelsea ilomtoa barcelona kwa magoli mawili huku possession ikia 80 kwa 20 ilimuonea barcelona??
naunga mkono hoja, huyo ni matako kweli
 
Wachezaji wetu nao.

Imagine jana wanashindwa kumzonga mwamuzi kwebda kwenye VAR.

WACHEZAJI WALIPASWA WAMZONGE MWAMUZI AENDE KWENYE VAR
Acha kuishi kijima!! Kwani wajibu wa refa nikuzongwa? Vipi kuhusu aliyoenda kuangalia faulo Lomalisa alizongwa?.
 
Vipi
Unapaki basi dakika tisini, unakuja kutolewa kwa Penalty, si bora ufunguke tu unaweza kushinda.

Ukitoa Chelsea ya 2012, sijawahi kuona timu nyingine iliyowahi kuchukua ubingwa kwa kupaki bus.

Utopolo takataka kabisa!
Vipi kuhusu Simba iliyomiliki Mpira imefuzu?. Au mmetobolewa
 
Simba ilikuwa na mikakati ya kushinda.

Malengo ya Simba ni tofauti na Yanga.

Simba ilikuwa na mikakati ya kuvuka hii hatua.

Kwa hivyo ilihitaji kupambana kupata matokeo ya ushindi.

Mikakati ya kushinda iliambatana kwa timu kufunguka kushambulia na sio kupaki Yutong.
 
Baada ya mikakati iko wapi?, Mpira sio mdumange kwamba unachezea twende mbele.... Mpira ni mchezo unaohitaji mbinu na unachezea kutokana na mpinzani... Mbona kwenye zile 5-1 Haya maneno hayakuwepo. Pamoja na ubovu wote wa Aly Ahly bado umekandwa nje ndani.
 
Nyie si mlizuia mwanzo mwisho ili mfike matuta mkiamini huko ndio mtaweza kutoboa

Enhe imekuwaje tupo hapa tulipo?

Na nyie si ndio mliokuwa mkibeza robo fainali, vipi mmeweza ku conquer na kuvuka?

Au mmebaki mnapiga domo na kulialia tu kutafuta huruma?
 
Unapaki basi dakika tisini, unakuja kutolewa kwa Penalty, si bora ufunguke tu unaweza kushinda.

Ukitoa Chelsea ya 2012, sijawahi kuona timu nyingine iliyowahi kuchukua ubingwa kwa kupaki bus.

Utopolo takataka kabisa!
Kama mlivyofunguka nyie mkapigwa viwili kule misri ama siyo?
 
Back
Top Bottom