Interlacustrine R
JF-Expert Member
- Jan 22, 2022
- 7,186
- 14,274
Yanga hakuwa na 3 keys/potential players ulitaka ajuaje ubora wa kipa wa Mamelody Sundowns?Tulishuhudia mechi wote, Yanga walikuwa wamezidiwa kila idara na Mamelodi
Yanga walichofanya ni kupaki basi kubutua butua, kucheza rafu kwa dakika zote na kubahatisha shuti moja ambalo ndio wanalolalamikia walinyimwa goli
Kwa mashabiki tunaopenda kuona soka, tunataka timu bora ishinde, sio kubahatisha, hata Penalti walishindwa kupiga
Mamelodi ndio alikuwa timu bora na alistahili kushinda
View attachment 2955417
*Hujui Pacome anavyopasuaga ngome yoyote ya mpinzani?
*Huonagi Aucho anavyokamataga dimba kuzuia pass penetration zozote?
*Yaoyao je kupandisha timu kimashambulizi na kuwahi kurudi nyuma kukaba?
*Man City hutafuta ushindi kwa tochi akikosekana De Bruine tu, kwani haina kikosi kipana?
*Masambwanda SC ni wepesi sana Yanga kafichua udhaifu wao rasmi 05/04/2023.
Sent from my CPH2387 using JamiiForums mobile app