Kwa tamko la leo la Rais Samia, 'legacy' ya yule jamaa imezikwa rasmi

CCM walijua kwamba uchaguzi wa 2025 hata wangemsimamisha nani, wasingetoboa hivyo wakaona wayaingize mkenge haya manyumbu nayo yameingia kichwa kichwa, sasa watu watashangaa hata hayo ma mikutano yao hawatapa wafuasi maana wameshashtukiwa nao ni walamba asali tu.
 
Watanzania ni shida sana. Yaani mama karuhusu mikutano ya hadhara, ambayo ilizuiliwa kinyume na Katiba ya Nchi, lakini watu wanaona kama Hisani fulani hivi.

Kwa maoni yangu, hapa hakuna chochote kilichoongezwa.
Hii chuki kwa Magufuli inaathiri sana watu kuliko matendo mabaya ya Magufuli, yani kama hili suala watu hulifurahia kisa tu ni jambo lenye kwenda kinyume na Magufuli yani hilo tu basi.

Hawaoni kwamba hili jambo halikuwa la hisani.
 
Mama kashasema akizingua akosolewe,ndivyo hivyo akifanya Jambo la kiungwana asifiwe

Sent from my HUAWEI NXT-L29 using JamiiForums mobile app
Angeweka list ambayo anaruhusu kukosolewa na ambayo hayaruhusiwi, hadi sasa tunajua jambo moja tu la kuhusu mikopo ndio ambalo haruhusu kukosolewa.
 
Mabavicha yanashangilia ujinga!
 
kamfufue uzikwe wewe. hatitali lehacy za kuuwa na kupiga watu risasi hapa nchini
asante mungu kwa ukuu wako
 
kamfufue uzikwe wewe. hatitali lehacy za kuuwa na kupiga watu risasi hapa nchini
asante mungu kwa ukuu wako
Kupigwa risasi Lissu basi imekuwa bonge la issue, Enzi ya Mkapa waislamu walichezea shaba kama kuku. Huko Zanzibar washauliwa sana hadi wengine wakapakimbia.
 
Hao ambao hawakupewa chakula nao vipi those guys were smart ama?
 
Huu ni utoko mwingine tena
 
Mkitaka kuizika legacy ya Magufuli acheni kuanzisha threads nyingi kila uchao hapo ndio taamini mmeizika.
Sasa kama thread zake zinatawala jukwaa maana yake mnahema hovyo kuimaliza imeshindikana kenge nyie
 
Watanzania tumefarijika sana maana tulipoteza uhuru kwa miaka 6 lakini Rais Samia Suluhu ameingia madarakani baada ya siku 655 za utawala wake ameweza kurejesha democrasia iliyokuwa imepotea pia leo amefanikiwa kutuweka pamoja jambo jema sana hili
 
Watanzania ni shida sana. Yaani mama karuhusu mikutano ya hadhara, ambayo ilizuiliwa kinyume na Katiba ya Nchi, lakini watu wanaona kama Hisani fulani hivi.

Kwa maoni yangu, hapa hakuna chochote kilichoongezwa.
Kibaya zaidi hakuna hata maelezo kutoka kwa watawala kuashiria hata kwa mbali kuwa marufuku ile ilikuwa batili kikatiba na cha kibabe! Mikutano hiyo haijarejeshwa kwa sababu ni haki ya kikatiba bali ni hisani na kwa lengo la maridhiano!
 
Legacy is something that stays permanently! Magufuli Legacy HAIWEZI KUFA NA HAITAKUFA! Kama unabisha ebu angalia crip ya Ujazaji Maji Mwalimu Nyerere Hydroelectric Power Station!
Intellectually barren, temperamentally unfit for office. Most enduring legacy is that of brutality,
 
Nchi hii imewai kuwa na Marais 2 tu, Nyerere na Magufuri, wengine hawa ni wapita njia tu!
Huyu mama ni kipi amefanya kuvunja rekodi ya magufuri
 
Hakika.

Kwa hasira waliyonayo hao sukuma gang, za kuizika rasmi legacy ya Mwendazake, watakuwa wamekereketwa Ile mbaya kabisa
Chawa + walamba asali, hamnazo, huyu mama mwepesi kama unyoya, shukru magu alifuta upinzani, mikiki mikiki ya mbowe na lisu enzi zake, msijitoe fahamu kisa mnalamba asali
 
Hilo jeneza linatakiwa kupigwa mateke pale uwanja wa Taifa
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…