Kwa ufupi, Wayahudi wameshindwa kabla hawajaanza

Wewe mama unaona ndugu zako wavaa vipedo na makobazi wanavyochakazwa.Acha propaganda, ukweli halisi ndio huu🤔
....
The IDF is continuing to strike in the Gaza Strip

Among the targets are dozens of military command centers and mortar shell posts that were destroyed. In addition, the operational command center of Ali Qadi, one of the commanders of the Hamas “Nukhba” commando forces who was killed several days ago, was struck.

Furthermore, IAF fighter jets killed several Hamas terrorists inside of a military compound belonging to the Hamas terrorist organization.
 
Naona unajiandikia tu mradi uandike, hata huelewi chanzo cha matatizo ni nini.
 
Na wewe una kauli kwa mungu wako? Jisome hapa:

25 Naye aka
Allah alitoa ahadi ya mabikra 72 kwa Wanaume wa Kiislam watakaoingia peponi na kutotoa ahadi yeyote ile kwa Wanawake wa Kiislam ila hajasema wanawake wa kiislam watakaoingia peponi watapewa nini.

Sunan Ibn Majah Juzuu ya 5, Kitabu cha 37, Hadithi 4337—“Abu Umama amesimulia: “Mtume wa Allah swt amesema, ‘Kila ambaye Mwenyezi Mungu atamuingiza Peponi ataoa wake 72;

Sunan Ibn Majah Volume 5, Book 37, Hadith 4337—“Abu Umama narrated: "The Messenger of God said, 'Everyone that God admits into paradise will be married to 72 wives; two of them are houris and seventy of his inheritance of the female dwellers of hell. All of them will have libidinous sex organs and he will have an ever-erect penis.”

Quran 56:28-37: We have created (their Companions) of special creation. And made them virgin - pure (and undefiled), - Beloved (by nature), equal in age,-

Quran 37:48-49:

And with them shall be those who restrain the eyes, having beautiful eyes; As if they were eggs carefully protected.

“...they shall have therein Azwajun Mutahharatun (purified mates or wives), (having no menses, stools, urine, etc.) and they will abide therein forever.” This means God will provide pure women for men to have sex with in Paradise.
 
Tatizo nini hapo?
 

Shukrani sana ndugu, hapa umenawa mikono, yeyote atakayesoma hili andiko mpaka mwisho na hajafanya maamuzi then kosa liko kwake maana umehubiri kabisa na kuiweka sawa.
 
Wayahud kwa maelfu wameuawa wewe unasema wiki 2 tu, akili zako umezificha wapi mkuu? kwa wayahud watu 1,300 tena wanajeshi kufa kwa mara moja ni janga kubwa sana. Waarabu hawaogopi kufa na wanakufa kila siku na wakifa wanafanya sherehe kubwa.
Mkuu acha kupotosha,mpaka sasa 1,400 ni Idadi ya raia wote wa Israel waliokufa kati ya hao wanajeshi 261 kwa mujibu wa Aljazeera.
 
Tafuteni shughuli za kufanya nyie wamatumbi, hiyo miarabu na miyahudi don't give a damn about y'all hata pole hawawapi kwenye shida zenu. Acha wafu wazikane
 
Na wewe una kauli kwa mungu wako? Jisome hapa:

25 Naye akaja akamsujudia, akisema Bwana, unisaidie.
26 Akajibu, akasema, Si vema kukitwaa chakula cha watoto na kuwatupia mbwa.

Na wewe una kauli kwa mungu wako? Jisome hapa:

25 Naye akaja akamsujudia, akisema Bwana, unisaidie.
26 Akajibu, akasema, Si vema kukitwaa chakula cha watoto na kuwatupia mbwa.
وَكَذَٰلِكَ أَوْحَيْنَا إِلَيْكَ قُرْآنًا عَرَبِيًّا لِّتُنذِرَ أُمَّ الْقُرَىٰ وَمَنْ حَوْلَهَا وَتُنذِرَ يَوْمَ الْجَمْعِ لَا رَيْبَ فِيهِ ۚ فَرِيقٌ فِي الْجَنَّةِ وَفَرِيقٌ فِي السَّعِيرِ

[ ASH-SHUURA - 7 ]
Na namna hivi tumekufunulia Qur'ani kwa Kiarabu ili uwaonye watu wa Mama wa Mji wa Miaka na walio pembezoni mwake. Na uhadharishe na Siku ya Mkutano, haina shaka hiyo. Kundi moja litakuwa Peponi, na kundi jengine Motoni.

وَأَنذِرْ عَشِيرَتَكَ الْأَقْرَبِينَ

[ ASH-SHUA'RAA - 214 ]
Na uwaonye jamaa zako walio karibu nawe.

ARABS are the true Muslims and the true descendants of Prophet Muhammad (pbuh)..

"Non-Arabs who without shame, called themselves Muslims are just plain Converts whom are lowly cowards with unhonourable souls That were overwhelmed with ease by the Swords of Allah, thus they deserved to be called as our Dogs.."

"Non-Arab muslims deserves to be called as our Dogs.."

Muhammad Al-Arifi Saudi Wahhabi Cleric
 
YESU NI MUNGU! hii ndio imani yangu mimi. Kama vile alivyo baba ndivyo alivyo mwana. Kama tumechezea kichapo acha na sisi tujitetee maana waliouwawa israel na hao wapuuzi wanywa damu hamas ni raia pia. Kwa hiyo palestine ndo Kuna raia kwingine Hakuna raia? Acha ushabiki maandazi
 
Wapi Yesu anasema "Mimi Mungu"?
 
Upo sahihi.
 
Wapi Yesu anasema "Mimi Mungu"?
Yohana 8:58
Yesu akawaambia, Amin, amin, nawaambia, Yeye Ibrahimu asijakuwako, MIMI NIKO.
"NIKO" jina la Mungu peke ake. Tunakutana na hili jina pale ambapo Mungu alimtuma Musa kuwatoa wana wa Israel kule Misri.
Imeandikwa
Kutoka 3:13
Musa akamwambia Mungu, Tazama, nitakapofika kwa wana wa Israeli, na kuwaambia, Mungu wa baba zenu amenituma kwenu; nao wakaniuliza, Jina lake n’nani? Niwaambie nini?

Kutoka 3:14
Mungu akamwambia Musa, MIMI NIKO AMBAYE NIKO; akasema, Ndivyo utakavyowaambia wana wa Israeli; MIMI NIKO amenituma kwenu.
 
Wapi Yesu anasema "Mimi Mungu"?
 
wayahudi hawamtabui, wapalestina jamaa yao huyo:
Haya yote ni kujifariji. Jambo kubwa ni kwamba Hamas wanapigwa na Israel huko Gaza, tuwasaidie. Muisilamu ndugu yake muisilamu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…