Kwa unyenyekevu mkubwa, naombeni msaada wa mawazo kuhusu huyu binti

Wakiiikuulliza unaowa lini? Subiri siku ya msibaaa uwaulize na wewe lini?
 
Yani demu wako aligongwa na mtu mwingie (kacheat) halafu akajazwa mimba, then majukumu ya malezi uletewe wewe? na unataka ushauri.

Au mimi sijaelewa mada.
Hatukuwa kwenye mahusiano before japo tulishawahi onana,!
 
Bro ukiambiwa uchague kati ya kuoa single mama au kunywa sumu, wee kunywa sumu tuu.
Muone huruma mzazi wako bro unampelekeaje mkamwana watu walishazalisha? Sio fair kwa wazazi wako.

Alafu wee sii umesema hapo maisha ulishayapatai kiaina...sasa tafuta mwanamke hana mtoto. Hao kenge wakishaolewa ndio utaona ukenge wao. Usikubali kulea bao la mwanaume mwenzio. Usimuonee huruma huyo binti. Mbwage tuu kenge huyo
 
Wakati baba ananipeleka sekondari boarding school aliniambia kauli moja, alisema “usiwaze kuhusu marafiki zako nyumbani uliowaacha, huku utapata marafiki wengine na utawasahau wale wa nyumbani” mkuu kinachokusumbua wewe unawaza kama ukimwacha utapata wapi mwingine wa mfano wake, sikia wanawake wapo, achana na huyo mke wa mtu, anzisha familia yako, usijiunge na familia ya watu wengine. Shida za hao watu unaweza usizione leo, ila ukianza nae family ni forever and for always. MKUU TAFUTA MKE WAKO, HUYO NI MKE WA MWANAUME MWENZIO.
 
Kaa na mama yako kama yupo mwambie nataka kumuoa huyo binti, then fuata ushauri wake, mwambie akuambie Ukweli kabisa kutoka moyoni.
 
Sawa mkuu ,ila twende mbele turudi nyuma; ukiangalia hapo kuna ufala kafanya mwanaum mwingine kwa kumzalisha huyo mwanamke then kumtema ..Kusema ila ukweli sisi wanaume tunazingua sana japo hakuna sababu ya kubeba mzigo wa mwingine.

Lakini katika maisha ni suala la kuangalia mbele kwa sana ,kuchunga mipaka ya mahusiano ..Kwa mwanaume ambaye hujao hauwezi kumchunga ila ukioa lazima uweke sheria ni miliki yako.
 
Angalia na umri ,kuna umri wanatulia kweli kweli..Kama una uwezo basi unaweza kumuoa ...Tengeneza mipaka maana watu wenu wanadanganya mabinti mwishoe ni majuto.
 
Binafsi, kwa sababu umesema kwa unyenyekevu kabisa, nakushauri USIOE mwanamke mwenye mtoto kama wewe huna.

Changamoto za ndoa ni nyingi sana HASA nyakati hizi, ukiongezea hizo za ex wake na mtoto, utaishindwa ndoa sio mda mrefu.
 
Unabidi kumuoa na kumtunza huyo mtoto na kumsomesha .

Na uende utoe mahari kwao na Kufunga ndoa takatifu .
Unatoaje mahari kwa mwanamke ambaye tayari amezalishwa, hizi mila huwa sizielewi hata kidogo. Dowry kwa mwanamke aliyezalishwa tayari kwangu ni batili.
 
Ni vema wee mwenyewe ndo ukatafakari na kuchanganua mawazo yako juu ya hilo nadhani utapata jawabu sahihi na ukafanyia utekelezaji.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…