Kwa uonevu wa wazi dhidi ya goli la Yanga leo, suluhisho ni timu za Tanzania kujitoa mashindano ya Afrika. Na tujitoe kwa staili hii

Tunajitoa vipi? Hatujitoi officially tusije fungiwa for A. Tunajitoa kwa staili ya ku boycott. Kila mwaka tukipangiwa mashindano ya Africa tuna cheza chini ya kiwango na kutolewa hatua ya awali.

Mkuu timu zetu hazina influence yeyote kwenye soka la Africa...

Wanaoweza kufanya hivi labda ni timu za Misri, Morocco na Tunisia...

Kwamba zikikosekana Ahly, Esperance, Wydad, CAF watajishtukia...
 
Hapa ni kujitoa officially tu, kuna haja gani sasa ya kuhangaika kooote halafu unakuja kuhujumiwa mwishoni
Yaani kushika Bomba ndo kuhangaika? Mwakarobo Junior mmeshindwa hata kupiga pass 100 katika mchezo na possession yenu ya below 30%,eti bado mnalilia goli Feki ambalo linegusa nyasi badala ya Nyavu na mnaitaka nusu Fainali seriously kweli?Mbona penati ziliwashinda ama nazo mmeonewa? Sasa nakubaliana na slogan yenu kuwa mwiko upo nyuma na akili zimewaruka
 
Hapa ni kujitoa officially tu, kuna haja gani sasa ya kuhangaika kooote halafu unakuja kuhujumiwa mwishoni
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] ila wee unachekesha sana, kubali umeshatolewa, jipange upya mwakani.
 
Hapa ni kujitoa officially tu, kuna haja gani sasa ya kuhangaika kooote halafu unakuja kuhujumiwa mwishoni
Tukijitoa officially inaweza kuathiri timu yetu ya taifa. We have to just loose interest na mashindano yao. Tuwe kama Nigeria Cameroon Senegal etc. Wao waliona ni upuuzi mtupu wakaachana na mashindano haya ya hovyo. Wame focus ulaya
 
Tangu lini mtu kafungwa moja bila halafu wakaenda penalty?
 
Mbumbumbu yanga tulivowapiga 5
Siku ya November 5, 2023
Ulishika bomba
 
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] ila wee unachekesha sana, kubali umeshatolewa, jipange upya mwakani.
Vip jana 5imba hakucheza?

Hivi semi final mnakutana na nani?
 
Kwa nini mchezo wa Simba na Al-Ahly haujadiliwi? Haukuwa na umuhimu wowote? Ulikuwa wa kukamilisha ratiba tu?

Ninajua kuwa nimekosea kuandika Al-Ahly nikaonegeza i kuwa Al-Ahlyi na siwezi kuifuta
Tumewaachia mablich fc mtambe Africa maana ilikua ndoto yenu...tusubiri na hilo goli mtarudishiwa ...
 
Simba inajua ugumu wa haya mashindano ndo maana haina midomo midomo oohoo robo ooho robo...haya robo hyo muinuse vizuri..
 
Umechizi kijana unaongea upuuzi mtupu
 
Ni Mihemko tu ,kiazi wewe .....IPO siku utaona hizi pumba zako ulizoandika utatamani kufuta [emoji23][emoji23]
 
Taja faida tano mlizonazo mpaka mkijitoa caf lazima iwaume
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…