Kwa upande wangu siwezi KUMCHANGIA aliyefia Uturuki akifanya surgery ya urembo

Hivi hiyo pesa isipopatikana, huo mwili huko Uturuki wataufanya nini?
Nawapa pole sana wafiwa, lakini huku kuwachangisha pesa kwa uzito mkubwa watu ili kuukomboa mwili wa maiti iliyofikia ughaibuni siliungi mkono sana, lilipaswa kubakia ndani ya uwezo wa kifamilia. Tujenge utamaduni wa kuchangia vitu vya maana zaidi, sio kila kitu tuchangishane.
 
Alienda kuongezea makalio, na huo ndio ukweli,
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…