Kwa uzoefu wangu, sehemu zenye Waha wengi ni ngumu sana kufanya biashara

Oyaaa we ni mhariri mzur kwel kwel...ngoj nizingatie ushaur wako,usiache kunikosoa tena next tyme.
 
Waha ni wabishi mno
 
Kahama ina waha wengi mno na ni kati ya ya miji inafanya vizuri kibiashara

Kwa mara ya kwanza waha weupe pee nimewaona huko.
 
Yani wewe unashinda keenye kaduka kako unapigwa feni sisi tupo mtaani na mavyombo tunapigwa na jua unataka jioni tuje tukuunge kiwepesiwepesi tu
 
Wambulu au wairaq ni wabinafsi tu na wenye roho mbaya Kwa mtu kuja (HOMO) hawapendi kuchanganyika, muiraq akiajiliwa mkoa mwingne yupo radhi kuhonga mishahara ya mwaka mzima arudi kwao.
Kweli mkuu Wairaq hawapendi kutoka kwao ukiwakuta nje ya mikoa ujue wameletwa na Serikali kwaajili ya Ajira, kutoka kwenda kutafuta Maisha nje ya kwao hawapendi sijui ni Uoga tu.
 
Siyo biashara tu bali hata maisha kwa ujumla Muha, Mhaya, Masai, Mnyakyusa na muislam mwenye msimamo mkali, ni kipengele kwa watu wasio upande wao. Kama unataka kuwakwepa waha epuka maeneo inakopita reli ya kati.
We jamaa hv wahaya na waha si mbingu na dunia?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…