Kwa uzoefu wangu, sehemu zenye Waha wengi ni ngumu sana kufanya biashara

Kwa uzoefu wangu, sehemu zenye Waha wengi ni ngumu sana kufanya biashara

Oyaaa we ni mhariri mzur kwel kwel...ngoj nizingatie ushaur wako,usiache kunikosoa tena next tyme.
 
Salaam

Nia ya uzi wangu sio kubeza wala kudhihaki mtu yoyote, ila natoa angalizo tu kwa mtu mwenye nia/ ndoto/ dhamira/ kusudi la kufanya biashara ajue anakabiliwa na mtihani mkubwa mbeleni.

Utafiti wangu umejikita mitaa ya Boko Chasimba, ambako Nina nyumba kadhaa za kupangisha na ninaona hali halisi ilivyo, kwani ni eneo lenye Waha wengi na ndio walifika mapema zaidi eneo hilo.

Waha hununua bidhaa kwenye maduka ya Waha wenzao. Hununua chakula kwenye migahawa ya Waha wenzao, pia ni wagumu sana kununua nyama.

Ukiwa na bucha huku utalaza nyama mpaka ukome. Waha sii walaji wa mahotelini. Huku Chasimba ukianzisha hata sehemu ya kitimoto, hupati mteja. Watu wanataka kwenda kwa Isaya ambaye anauza mapande ya kichwa cha nguruwe buku buku, maini ya nguruwe, mapupu, figo na utumbo wa nguruwe, kitu ambacho sijawahi kuona sehemu nyingine aina hiyo ya biashara.

Huku huwezi kufungua bar, jamaa ni mabahili hatari. Bia wanapenda ila kununua hawataki, wanakunywa Nipe Tano, Dabo Kiki, Sungura and the likes.

Huku kuna supu hadi ya shilingi Mia tano ya utumbo aina ya Msinjilo, utaipata kwa Mama Sumaiya.

Hizo pombe kali na zenyewe zinapimwa kuanzia Mia mbili na kuendelea. Pombe kama Scud na wanzuki ndio zimeshamiri.

Hakika kwa ninayoyaona, ni ngumu mno hawa wenzetu kujichanganya, ni wabishi sana na wajuaji.

Akitaka kuoa lazima arudi kwao, ukimpangisha nyumba yako ataharibu bomba atataka wewe ukarabati.

Tulakoze
Waha ni wabishi mno
 
Kahama ina waha wengi mno na ni kati ya ya miji inafanya vizuri kibiashara

Kwa mara ya kwanza waha weupe pee nimewaona huko.
 
Yani wewe unashinda keenye kaduka kako unapigwa feni sisi tupo mtaani na mavyombo tunapigwa na jua unataka jioni tuje tukuunge kiwepesiwepesi tu
 
Wambulu au wairaq ni wabinafsi tu na wenye roho mbaya Kwa mtu kuja (HOMO) hawapendi kuchanganyika, muiraq akiajiliwa mkoa mwingne yupo radhi kuhonga mishahara ya mwaka mzima arudi kwao.
Kweli mkuu Wairaq hawapendi kutoka kwao ukiwakuta nje ya mikoa ujue wameletwa na Serikali kwaajili ya Ajira, kutoka kwenda kutafuta Maisha nje ya kwao hawapendi sijui ni Uoga tu.
 
Siyo biashara tu bali hata maisha kwa ujumla Muha, Mhaya, Masai, Mnyakyusa na muislam mwenye msimamo mkali, ni kipengele kwa watu wasio upande wao. Kama unataka kuwakwepa waha epuka maeneo inakopita reli ya kati.
We jamaa hv wahaya na waha si mbingu na dunia?
 
Back
Top Bottom