Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
WachafuWake zao vipi kuna kijana anataka kuwowa huko...
TymeOyaaa we ni mhariri mzur kwel kwel...ngoj nizingatie ushaur wako,usiache kunikosoa tena next tyme.
Arooo!...saw saw nmekupata.Tyme
Mzur
Kwel kwel
Ngoj
Ushaur
🤣🤣🤣 pombe mia mbili dah hyo sehem syo ya kuish ukinywa bia utapgwa zogo waweza jikuta unajamba mpaka ukivua boksa unakuta ilisha unguwa na kutoboka kwa mfulululizo wa vijambo
Waha ni wabishi mnoSalaam
Nia ya uzi wangu sio kubeza wala kudhihaki mtu yoyote, ila natoa angalizo tu kwa mtu mwenye nia/ ndoto/ dhamira/ kusudi la kufanya biashara ajue anakabiliwa na mtihani mkubwa mbeleni.
Utafiti wangu umejikita mitaa ya Boko Chasimba, ambako Nina nyumba kadhaa za kupangisha na ninaona hali halisi ilivyo, kwani ni eneo lenye Waha wengi na ndio walifika mapema zaidi eneo hilo.
Waha hununua bidhaa kwenye maduka ya Waha wenzao. Hununua chakula kwenye migahawa ya Waha wenzao, pia ni wagumu sana kununua nyama.
Ukiwa na bucha huku utalaza nyama mpaka ukome. Waha sii walaji wa mahotelini. Huku Chasimba ukianzisha hata sehemu ya kitimoto, hupati mteja. Watu wanataka kwenda kwa Isaya ambaye anauza mapande ya kichwa cha nguruwe buku buku, maini ya nguruwe, mapupu, figo na utumbo wa nguruwe, kitu ambacho sijawahi kuona sehemu nyingine aina hiyo ya biashara.
Huku huwezi kufungua bar, jamaa ni mabahili hatari. Bia wanapenda ila kununua hawataki, wanakunywa Nipe Tano, Dabo Kiki, Sungura and the likes.
Huku kuna supu hadi ya shilingi Mia tano ya utumbo aina ya Msinjilo, utaipata kwa Mama Sumaiya.
Hizo pombe kali na zenyewe zinapimwa kuanzia Mia mbili na kuendelea. Pombe kama Scud na wanzuki ndio zimeshamiri.
Hakika kwa ninayoyaona, ni ngumu mno hawa wenzetu kujichanganya, ni wabishi sana na wajuaji.
Akitaka kuoa lazima arudi kwao, ukimpangisha nyumba yako ataharibu bomba atataka wewe ukarabati.
Tulakoze
Kweli mkuu Wairaq hawapendi kutoka kwao ukiwakuta nje ya mikoa ujue wameletwa na Serikali kwaajili ya Ajira, kutoka kwenda kutafuta Maisha nje ya kwao hawapendi sijui ni Uoga tu.Wambulu au wairaq ni wabinafsi tu na wenye roho mbaya Kwa mtu kuja (HOMO) hawapendi kuchanganyika, muiraq akiajiliwa mkoa mwingne yupo radhi kuhonga mishahara ya mwaka mzima arudi kwao.
We jamaa hv wahaya na waha si mbingu na dunia?Siyo biashara tu bali hata maisha kwa ujumla Muha, Mhaya, Masai, Mnyakyusa na muislam mwenye msimamo mkali, ni kipengele kwa watu wasio upande wao. Kama unataka kuwakwepa waha epuka maeneo inakopita reli ya kati.
Ni watata mno
Ubishi ni kielelezo cha ushamba na kutotaka kujifunza maarifa mapyaWaha ni wabishi mno
Wachawi & washambaNi watata mno
Wanajua Kila kitu
Walivyomuua wachafu sasa, vyoo majumbani kwao ni vichafu mno hadi unaogopa kwamba utapatwa na magonjwaWAHA NI WAPUUZI SANA! 😂😂