Hapana , hatumanufacture dhahabu Wala minerals yoyote utasemaje inajenga uchumi?Viwanda vipo na vinaendelea kujengwa ila sio vya kutosha..
Lite ungejua sekta ya manufacturing inavyobeba uchumi Kwa Sasa hata usingeongea
Hapana , hatumanufacture dhahabu Wala minerals yoyote utasemaje inajenga uchumi?
Kama ingekuwa inajenga uchumi, tungekuwa na tax cuts mpaka sasa ila hakuna tax cuts na Kodi inaongezekaj
Hizo ni statistics ambazo hazina reality kwenye mazingira yetu, hatuoni kitu chochote in reality.
Kuna pale TIC pia, kuna vichwa paleNimefanya utafiti kidogo juu ya habari mbalimbali zinazoandikwa juu ya Tanzania kiuchumi kwa kipindi cha miezi 3 sasa. Kusema kweli hakuna habari mbaya utakayoikuta juu ya Tanzania kiuchumi. Wachambuzi wote wa nje na ndani ya Afrika wanaisema vizuri sana Tanzania. Sio kwenye uwekezaji sio kwenye ukuaji wa uchumi.
Nikaja eneo la pili kujiuliza kwa nini haya yanatokea sasa? Nimekuja kugundua pale Wizara ya Fedha, Rais kaweka watu makini sana ambao kwa maoni yangu bila shaka hawa ndo wanasababisha haya yote yatokee
Rished Bade, Lawrence Mafuru na sasa Nehemia Mchechu watakuja vikwa nishani kama sio 2029 basi 2030.
Wanafanya Mwigulu Nchemba aonekane Waziri wa Fedha mahiri sana kwa Afrika Mashariki na kati kwa sasa.
Walioshauri hawa financial gurus wawekwe kwenye mfumo wa serikali wa uchumi wanastahili pongezi sana.
Kwa hali hii, kuna kila sababu ya kusema Samia anaweza kuja kuwa Rais bora kabisa kuwahi kutokea Tanzania. Hali ya kiuchumi ya nchi inaenda vizuri sana kwa kweli!
Hapo Kakaangu Paschal Mayala nitakupinga. Bila nchi kujitosheleza kwa chakula kwanza, hakuna maendeleo. Leo hii wananchi wako site huku wanalia hawana uwezo wa kununua chakula maana chote kinaenda nje, maendeleo yanatoka wapi? Pili, bila nchi kutengeneza home purchasing power (ambayo siioni ikitengenezwa) hakuna kwenda popote ila tunaweza kujidanganya kuwa tunaenda.Naunga mkono hoja
P
Nilikuwa namsikiliza professor wa kizungu wa uchumi nikafahamu kuwa bila kuexport manufactured minerals hatufiki popote.Hizo ni statistics ambazo hazina reality kwenye mazingira yetu, hatuoni kitu chochote in reality.
Huyu namfuatilia bado. Nampa muda nae, ila anaonekana yuko poa piaKuna pale TIC pia, kuna vichwa pale
Bwashee uko Nchi gani weweAngalia tunachoexport manufacturing goods compared kama tungekuwa tunaexport manufactured gold na raw minerals zingine.
Tungekuwa mbali mno
Sure, ngoja tuone...ingawa nataman hao manguli mmoja angepewa kuongoza Shirika letu la ndege...ni kama hamna kichwa cha biashara pia pale...Mama apaangalie paleHuyu namfuatilia bado. Nampa muda nae, ila anaonekana yuko poa pia
Hatumanufacture raw minerals mkuu, nionyeshe kiwanda kinachomanufacture raw minerals.Bwashee uko Nchi gani wewe
Rudia kusoma ulichoandikaHatumanufacture raw minerals mkuu, nionyeshe kiwanda kinachomanufacture raw minerals.
Kama haipo ni kazi Bure.
ATCL pale kuna haja ya kuletwa Dr Ramadhan Dau au achukuliwe mmoja kutoka makampuni ya Simu yaliyopo hapa TanzaniaSure, ngoja tuone...ingawa nataman hao manguli mmoja angepewa kuongoza Shirika letu la ndege...ni kama hamna kichwa cha biashara pia pale...Mama apaangalie pale
Nimeandika kuwa hatu- manufacture raw Gold kwani ni uongo?Rudia kusoma ulichoandika
Trickle down economy imeshindwa kuwanufaisha watu wa chini na wakawaidaUchumi bila production (viwanda) ni sawa na kupiga gitaa.
Uchimi wa uchuuzi.
By the way hao waliwekwa ni wapigaji tu hamna lolote.
Kwani Tanzania Ina shida ya Chakula?Hapo Kakaangu Paschal Mayala nitakupinga. Bila nchi kujitosheleza kwa chakula kwanza, hakuna maendeleo. Leo hii wananchi wako site huku wanalia hawana uwezo wa kununua chakula maana chote kinaenda nje, maendeleo yanatoka wapi? Pili, bila nchi kutengeneza home purchasing power (ambayo siioni ikitengenezwa) hakuna kwenda popote ila tunaweza kujidanganya kuwa tunaenda.
What do you mean?In our world, they say,"drink water and mind your own business."
Ahahahahaha!Kwani Tanzania Ina shida ya Chakula?