Kwa vichwa vilivyopo Wizara ya Fedha sasa, Tanzania itakuwa mbali sana kiuchumi kufikia 2030

Mleta uzi ni muimba mapambio tu ya utawala.
 
Tumeshuka kutoka uchumi wa kati hadi uchumi wa chini ndani ya miezi miwili hilo usisahau
 
Hapo NAMI naunga mkono ila Mwingulu ni profetional mzuri ukada wa chama unamponza
 
Mabeberu na mafisadi hapa nyumbani ndio wanaocontrol media .

Wameshapewa fursa waliyokuwa wananyimwa Sasa hivi wanasifia tu.

Jifunze kutumia akili mdogo wangu.
 
Uchumi ni sayansi ya uzalishaji na ugavi wa rasimali.
Tumezalisha nini mpaka tusifiwe?
Tuna Manufacturing and Processing Industries ngapi? angalau light industries na sio lazima heavy industries!!
 
Duh tatizo ni mifumo mibovu tu ndio maana tunawaona wako poa ila kwangu siafiki kabisa kama wako juu kwa uelewa wa uchumi
Tatizo hatufanyi utafiti kwa wataalam wetu na shida kubwa kulamba asali itatucost sana, kila kitu kusifia hata pasipo na mpango
Wanaongea tu kwasababu ya Uchawa,ingia LinkedIn Kuna Watanzania wana CV nzitonzito na wanapiga kazi makampuni ya mbele uko.Sasa hawa Wahuni ndiyo watatusaidia nini? tunawafahamu uwezo wao,hawana jipya!
 
Wewe taifa limejaa Ma-jobless kibao alafu unasema Uchumi unakua!,unakuaje bila uzalishaji??
Marekani kwenyewe ukimsikiliza Biden anakwambia anapambana kutengeneza ajira kwa Wamarekani na ata Makamu wake Haris anakuja Afrika kusaka Business deals Ili kukuza Uchumi!
Sasa huu Uchumi wa tozo za miamala[emoji1787][emoji1787][emoji1787]
 
Dah ajabu sana
Ndio founding CEO wa Daresalaam Stock exchange na founding CEO wa UTT...kichwa cha hatari lakini kama hakithaminiki
Mzee Kitwanga ndiyo haya aliyokuwa anayasema, kwanini watu wenye akili wanapigwa vita kwenye hii nchi?
Siyo Kibola tu,kuna yule jamaa anaitwa Moremi Marwa na yeye alikuwa CEO hapo DSE.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…