Yoda
JF-Expert Member
- Jul 22, 2018
- 48,475
- 70,102
Mleta uzi ni muimba mapambio tu ya utawala.
Umeshawahi kusikiliza interview za Mafuru akiongelea uchumi, salaleeh; ata simple economic concepts kuzidadavua vizuri hawezi.
Nehemia ata investment hawezi ameenda kuitengenezea serikali madeni balaa na uwekezaji wake wa ovyo NHC their financial statements says it all. Magufuli akaona upuuzi alipotaka kuwekewa government guarantee aendelee kukopa.
Huyo Bade ndio fisadi la kutupa alipokuwa TRA.
Mwigulu ndio salaleh anajua tozo tu, kukopa na uelewa wake wa taxation close to zero.
Ni team ya mapoyoyo mno, vichwa kwa viwango vya JK tu but for the rest of us uwezo wao ni mdogo mno hao watu.