Lord denning
JF-Expert Member
- Jun 3, 2015
- 15,819
- 33,255
- Thread starter
- #81
Wapi duniani hakuna Rushwa?Kama unakubali RUSHWA haijawahi Kwisha under CCM,
Unakubaliana nami kuwa, linafaidika kundi dogo.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Wapi duniani hakuna Rushwa?Kama unakubali RUSHWA haijawahi Kwisha under CCM,
Unakubaliana nami kuwa, linafaidika kundi dogo.
Umeshawahi kusikiliza interview za Mafuru akiongelea uchumi, salaleeh; ata simple economic concepts kuzidadavua vizuri hawezi.Ungekuwa na akili kama ungekuja na facts kuthibitisha sio vichwa
Tunataka pasiwepo na harufu ya RUSHWA Tanzania.Wapi duniani hakuna Rushwa?
[emoji23][emoji23][emoji23]Naunga mkono hoja
P
Kwa maneno yako umejawa na chuki tuUmeshawahi kusikiliza interview za Mafuru akiongelea uchumi, salaleeh; ata simple economic concepts kuzidadavua vizuri hawezi.
Nehemia ata investment hawezi ameenda kuitengenezea serikali madeni balaa na uwekezaji wake wa ovyo NHC their financial statements says it all.
Huyo Bade ndio fisadi la kutupa alipokuwa TRA.
Mwigulu ndio salaleh anajua tozo tu, kukopa na uelewa wake wa taxation close to zero.
Ni team ya mapoyoyo mno, vichwa kwa viwango vya JK tu but for the rest of us uwezo wao ni mdogo mno hao watu.
Uwezo wa kuelewa maswala ya biashara na uchumi ni mdogo ndio maana unaweza kuwaona hao watu vipanga.Kwa maneno yako umejawa na chuki tu
Kama ni mfuatiliaji wa sekta ya fedha Tanzania huwezi acha kuwakubali Mchechu na Rished Bade walioongoza foreign banks zilizopo Tanzania kwa mafanikio.
Ukiona Taasis ya nje ya Tanzania inamchagua Mtanzania kuiongoza basi muheshimu sana huyo Mtanzania. Taasis nyingi za nje ya Tanzania zinazofanya kazi Tz zinaongozwa na wa SA, Kenya, Zimbabweans na Nigerians.
Punguza chuki
Kweli ni makini maana ndoo wamebadilisha perdiem kutoka 150000 hadi 250000 .250000 ni kama mshahara wa mtu kima cha chiniNimefanya utafiti kidogo juu ya habari mbalimbali zinazoandikwa juu ya Tanzania kiuchumi kwa kipindi cha miezi 3 sasa. Kusema kweli hakuna habari mbaya utakayoikuta juu ya Tanzania kiuchumi. Wachambuzi wote wa nje na ndani ya Afrika wanaisema vizuri sana Tanzania. Sio kwenye uwekezaji sio kwenye ukuaji wa uchumi.
Nikaja eneo la pili kujiuliza kwa nini haya yanatokea sasa? Nimekuja kugundua pale Wizara ya Fedha, Rais kaweka watu makini sana ambao kwa maoni yangu bila shaka hawa ndo wanasababisha haya yote yatokee
Rished Bade, Lawrence Mafuru na sasa Nehemia Mchechu watakuja vikwa nishani kama sio 2029 basi 2030.
Wanafanya Mwigulu Nchemba aonekane Waziri wa Fedha mahiri sana kwa Afrika Mashariki na kati kwa sasa.
Walioshauri hawa financial gurus wawekwe kwenye mfumo wa serikali wa uchumi wanastahili pongezi sana.
Kwa hali hii, kuna kila sababu ya kusema Samia anaweza kuja kuwa Rais bora kabisa kuwahi kutokea Tanzania. Hali ya kiuchumi ya nchi inaenda vizuri sana kwa kweli!
Viwanda vya kutengeneza Yebo yebo na vijiti vya kuwashia mkaa...njoo Mkuranga uvione. Malipo per day ni 4kUnajua kuna Industrial parks zimeanzishwa huko Mkoa wa Pwani na vinajengwa viwanda zaidi ya 300?
Hakika naona serikali sasa ina BLEED kama usemavyo...Walifanya vizuri sana private sector. Hii bleed ndo kitu serikali ilikosa kwa muda mrefu .....
Huyo huyo anafanya vyema sana
Walikuwepo watu kama Kighoma Malima je nchi ilifika wapi kiuchumiNimefanya utafiti kidogo juu ya habari mbalimbali zinazoandikwa juu ya Tanzania kiuchumi kwa kipindi cha miezi 3 sasa. Kusema kweli hakuna habari mbaya utakayoikuta juu ya Tanzania kiuchumi. Wachambuzi wote wa nje na ndani ya Afrika wanaisema vizuri sana Tanzania. Sio kwenye uwekezaji sio kwenye ukuaji wa uchumi.
Nikaja eneo la pili kujiuliza kwa nini haya yanatokea sasa? Nimekuja kugundua pale Wizara ya Fedha, Rais kaweka watu makini sana ambao kwa maoni yangu bila shaka hawa ndo wanasababisha haya yote yatokee
Rished Bade, Lawrence Mafuru na sasa Nehemia Mchechu watakuja vikwa nishani kama sio 2029 basi 2030.
Wanafanya Mwigulu Nchemba aonekane Waziri wa Fedha mahiri sana kwa Afrika Mashariki na kati kwa sasa.
Walioshauri hawa financial gurus wawekwe kwenye mfumo wa serikali wa uchumi wanastahili pongezi sana.
Kwa hali hii, kuna kila sababu ya kusema Samia anaweza kuja kuwa Rais bora kabisa kuwahi kutokea Tanzania. Hali ya kiuchumi ya nchi inaenda vizuri sana kwa kweli!
Dah TZ kuna Maajabu na hili ni moja wapo. Kweli kabisa unasema hivo??! Dah haya ngoja tuoneNimefanya utafiti kidogo juu ya habari mbalimbali zinazoandikwa juu ya Tanzania kiuchumi kwa kipindi cha miezi 3 sasa. Kusema kweli hakuna habari mbaya utakayoikuta juu ya Tanzania kiuchumi. Wachambuzi wote wa nje na ndani ya Afrika wanaisema vizuri sana Tanzania. Sio kwenye uwekezaji sio kwenye ukuaji wa uchumi.
Nikaja eneo la pili kujiuliza kwa nini haya yanatokea sasa? Nimekuja kugundua pale Wizara ya Fedha, Rais kaweka watu makini sana ambao kwa maoni yangu bila shaka hawa ndo wanasababisha haya yote yatokee
Rished Bade, Lawrence Mafuru na sasa Nehemia Mchechu watakuja vikwa nishani kama sio 2029 basi 2030.
Wanafanya Mwigulu Nchemba aonekane Waziri wa Fedha mahiri sana kwa Afrika Mashariki na kati kwa sasa.
Walioshauri hawa financial gurus wawekwe kwenye mfumo wa serikali wa uchumi wanastahili pongezi sana.
Kwa hali hii, kuna kila sababu ya kusema Samia anaweza kuja kuwa Rais bora kabisa kuwahi kutokea Tanzania. Hali ya kiuchumi ya nchi inaenda vizuri sana kwa kweli!
Huu uongoUnajua kuna Industrial parks zimeanzishwa huko Mkoa wa Pwani na vinajengwa viwanda zaidi ya 300?
Kweli tukianza kutumia watu makini tulio nao na tukaacha kugawa vyeo kama zawadi tutapiga hatua kubwa kimaendeleo.Nimefanya utafiti kidogo juu ya habari mbalimbali zinazoandikwa juu ya Tanzania kiuchumi kwa kipindi cha miezi 3 sasa. Kusema kweli hakuna habari mbaya utakayoikuta juu ya Tanzania kiuchumi. Wachambuzi wote wa nje na ndani ya Afrika wanaisema vizuri sana Tanzania. Sio kwenye uwekezaji sio kwenye ukuaji wa uchumi.
Nikaja eneo la pili kujiuliza kwa nini haya yanatokea sasa? Nimekuja kugundua pale Wizara ya Fedha, Rais kaweka watu makini sana ambao kwa maoni yangu bila shaka hawa ndo wanasababisha haya yote yatokee
Rished Bade, Lawrence Mafuru na sasa Nehemia Mchechu watakuja vikwa nishani kama sio 2029 basi 2030.
Wanafanya Mwigulu Nchemba aonekane Waziri wa Fedha mahiri sana kwa Afrika Mashariki na kati kwa sasa.
Walioshauri hawa financial gurus wawekwe kwenye mfumo wa serikali wa uchumi wanastahili pongezi sana.
Kwa hali hii, kuna kila sababu ya kusema Samia anaweza kuja kuwa Rais bora kabisa kuwahi kutokea Tanzania. Hali ya kiuchumi ya nchi inaenda vizuri sana kwa kweli!
Fuatilia mamboHuu uongo
Shilingi imeporomokaje ?Ulitegemea nini wakati waliongeza tozo kila kona ya uchumi, number looks good lakini shilingi nayo imeporomoka vibaya sana kutokana na inflation iliyochangiwa kwa kiasi kikubwa na sera mbovu , kilichofanyika ni double maumivu kwa mwananchi wa kawaida, inflation na tozo vimekula pesa yake yote na kuifanya haina thamani, shilingi 1000 ya mwaka jana ni kama 300 ya leo halafu mnasifia uchumi mzuri, mmesoma wapi nyie au ni uchawa tuu
Maguru ktk Uchumi wa kukopa na kununua V8?????Nimefanya utafiti kidogo juu ya habari mbalimbali zinazoandikwa juu ya Tanzania kiuchumi kwa kipindi cha miezi 3 sasa. Kusema kweli hakuna habari mbaya utakayoikuta juu ya Tanzania kiuchumi. Wachambuzi wote wa nje na ndani ya Afrika wanaisema vizuri sana Tanzania. Sio kwenye uwekezaji sio kwenye ukuaji wa uchumi.
Nikaja eneo la pili kujiuliza kwa nini haya yanatokea sasa? Nimekuja kugundua pale Wizara ya Fedha, Rais kaweka watu makini sana ambao kwa maoni yangu bila shaka hawa ndo wanasababisha haya yote yatokee
Rished Bade, Lawrence Mafuru na sasa Nehemia Mchechu watakuja vikwa nishani kama sio 2029 basi 2030.
Wanafanya Mwigulu Nchemba aonekane Waziri wa Fedha mahiri sana kwa Afrika Mashariki na kati kwa sasa.
Walioshauri hawa financial gurus wawekwe kwenye mfumo wa serikali wa uchumi wanastahili pongezi sana.
Kwa hali hii, kuna kila sababu ya kusema Samia anaweza kuja kuwa Rais bora kabisa kuwahi kutokea Tanzania. Hali ya kiuchumi ya nchi inaenda vizuri sana kwa kweli!
Walifanya vizuri sana private sector. Hii breed ndo kitu serikali ilikosa kwa muda mrefu kwenye nafasi za juu kwenye wafanya maamuzi na wasimamia sera