peno hasegawa
JF-Expert Member
- Feb 24, 2016
- 18,223
- 31,465
Wewe hujioni unafaa? Tz sio nchi ya kimwinyi au ya kifalme!Ridhiwan namkubali, bora huyu kuliko hao wengine, kwanza hana tamaa, pili hana maneno ya hovyo hovyo, hata maisha yake Baba yake Mh. JK kamlea maisha ya kawaida na ana heshimu kila mtu, nasema kabisa bora huyu na nitapiga kampeni ya kufa mtu, huyu CCM atatufaa 2030, i will do all efforts to support Ridhiwani mapema nasema hili:
Ndiyo anaandaliwa hivyoWatoto wadogo wa mambo hawaelewi mambo. Wakubwa kwa umri but uelewa mdogo
Akigombea huyu Nampa big up ila Sasa ni zamu ya wale roho mbaya wa dini Ile sijui watamuweka nani.Ridhiwan namkubali, bora huyu kuliko hao wengine, kwanza hana tamaa, pili hana maneno ya hovyo hovyo, hata maisha yake Baba yake Mh. JK kamlea maisha ya kawaida na ana heshimu kila mtu, nasema kabisa bora huyu na nitapiga kampeni ya kufa mtu, huyu CCM atatufaa 2030, i will do all efforts to support Ridhiwani mapema nasema hili:
Majitu ya roho mbaya na makatiliMsisahau kwamba anayetakiwa 2030 ni mkristo 😅, msituone tumekaa kimya
Wewe ni ke au ni me? Uandishi ndiyo umenipelekea kuuliza hili swali.Kijana Riz1 ni the next president in making.
Kuna kipindi alikuwa kwenye kashfa mbali mbali za Ufisadi na mambo mengine. Alikuwa hakauki kwenye midomo ya wengi dhidi ya Ufisadi.
Kwa sasa Kijana ametulia na ameshaweka mizizi ya mbuyu; na wazee wa familia wameshampika ….. usitokee kwenye kashfa yoyote and keep your profile very low …… kwa sababu Watanganyika ni wasahaulifu sana.
Mpaka sasa kijana ameshafulu kwa 60% …… amekuwa mtendaji wa Umma sana kuliko mwanaCCM .
Hata ukimtizama kwa sasa, anapendeza machoni, anafaa kwa matumizi, good for the body , soul and mind .
Njia inasafishwa taratibu na hili lilithibitika pale Dodoma, Baba alihakikisha Mama yake anapita kwa Azimio ili mtoto asije kulala njaa
Je kina Makamba, Nape, Doto, Mwigulu, Emmanuel, Kassimu , Makonda the great ….mtamuweza huyu mtoto wa kishua aliyezungukwa na ufalme wa Adam and Ev?
Si mnajua kuwa wachawi walishakufa?
Kazi kwenu
Baba Levo akawa rais.TZ hata Mwijaku anaweza kuwa PM
kwasababu zanzibar inaongozwa na binamu yako na tanzania awamu ya pili iliongozwa na babu yako si ndioTanzania rais hawezi kujirudia kwa mtoto na baba..
Rais wa Tanzania ajae ni mpya ambaye baba yake hajawai kuwa rais
Wewe wasema.Tanzania rais hawezi kujirudia kwa mtoto na baba..
Rais wa Tanzania ajae ni mpya ambaye baba yake hajawai kuwa rais
Mbona unafahamika??Ngoja tuone uwezo wa kufikiria wa Watanzania.Keep it cool and look!
Makamba anahudhuria kanisani every Sunday these days, Wagalatia hawana namna ya kusema si mwenzao. He is nowadays praying with his dearest mum, kanisa Katoliki la mitume.Wapi imeandikwa hivyo?
Au ni streets words
Maana naambiwa Makamba kwa sasa ni Mkatoliki … kachukua kwa Mama 🤣
Mmmh , huyu atakufa kifo cha Lowasa. JK will sacrifice him just as he sacrificed EDOMakamba anahudhuria kanisani every Sunday these days, Wagalatia hawana namna ya kusema si mwenzao. He is nowadays praying with his dearest mum, kanisa Katoliki la mitume.
Wow.......! Strange world.
Ukisikia wakaanga mbuyu, sasa ndio hawa!,Kijana Riz1 ni the next president in making.
Kuna kipindi alikuwa kwenye kashfa mbali mbali za Ufisadi na mambo mengine. Alikuwa hakauki kwenye midomo ya wengi dhidi ya Ufisadi.
Kwa sasa Kijana ametulia na ameshaweka mizizi ya mbuyu; na wazee wa familia wameshampika ….. usitokee kwenye kashfa yoyote and keep your profile very low …… kwa sababu Watanganyika ni wasahaulifu sana.
Mpaka sasa kijana ameshafulu kwa 60% …… amekuwa mtendaji wa Umma sana kuliko mwanaCCM .
Hata ukimtizama kwa sasa, anapendeza machoni, anafaa kwa matumizi, good for the body , soul and mind .
Njia inasafishwa taratibu na hili lilithibitika pale Dodoma, Baba alihakikisha Mama yake anapita kwa Azimio ili mtoto asije kulala njaa
Je kina Makamba, Nape, Doto, Mwigulu, Emmanuel, Kassimu , Makonda the great ….mtamuweza huyu mtoto wa kishua aliyezungukwa na ufalme wa Adam and Ev?
Si mnajua kuwa wachawi walishakufa?
Kazi kwenu
Huyu anafaa ila urais wa Tanzania huwa hautabiriki. Kama Magufuli ambaye hakuwa na background nzito kwenye chama aliukwaa urais basi yeyote anaweza kuwa Rais. Hata Rais Mwinyi alipenya katikati ya majina mazito enzi hizo. Labda mtabiri wa nafasi za urais kwa hapa JF Mzee Pascal Mayalla anaweza changia mawazo.
Mimi ni Ke au Me …… choose itWewe ni ke au ni me? Uandishi ndiyo umenipelekea kuuliza hili swali.
January ameanza kuhudhuria kanisani kuna dalili ajaye wataweka mgalatia, hii ya bibi maushungi inahesabika ni zamu ya kobazi.
Ukristo wake au uislam wake unakisaidia nini?inatakiwa kiongozi bora ,haipaswi kuangalia dini yakeMsisahau kwamba anayetakiwa 2030 ni mkristo 😅, msituone tumekaa kimya
Kwanza it is not even constitutional . Huwa nashangaa sana mambo ya Ukiristu na Uislam ….dini zakuja na Ngalawa inakuaje zinatuamulia nani awe RaisUkristo wake au uislam wake unakisaidia nini?inatakiwa kiongozi bora ,haipaswi kuangalia dini yake
Usimpe matumaini hewa anaweza kupata kiharusi. Hakuna Mwanasheria Riz1 bila kubebwa UDSM na akina Pro Ibrahim Juma enzi hizo. Otherwise asingeona DegreeKijana Riz1 ni the next president in making.