Unadhani TEC 'watawala' wa nchi hii watavumilia waislamu mfululu?Kijana Riz1 ni the next president in making.
Kuna kipindi alikuwa kwenye kashfa mbali mbali za Ufisadi na mambo mengine. Alikuwa hakauki kwenye midomo ya wengi dhidi ya Ufisadi.
Kwa sasa Kijana ametulia na ameshaweka mizizi ya mbuyu; na wazee wa familia wameshampika ….. usitokee kwenye kashfa yoyote and keep your profile very low …… kwa sababu Watanganyika ni wasahaulifu sana.
Mpaka sasa kijana ameshafulu kwa 60% …… amekuwa mtendaji wa Umma sana kuliko mwanaCCM .
Hata ukimtizama kwa sasa, anapendeza machoni, anafaa kwa matumizi, good for the body , soul and mind .
Njia inasafishwa taratibu na hili lilithibitika pale Dodoma, Baba alihakikisha Mama yake anapita kwa Azimio ili mtoto asije kulala njaa
Je kina Makamba, Nape, Doto, Mwigulu, Emmanuel, Kassimu , Makonda the great ….mtamuweza huyu mtoto wa kishua aliyezungukwa na ufalme wa Adam and Ev?
Si mnajua kuwa wachawi walishakufa?
Kazi kwenu
🤣kiama km kitakuwepo
Acha ujingaKijana Riz1 ni the next president in making.

Unadhani TEC 'watawala' wa nchi hii watavumilia waislamu mfululu?
utawala wa kupeana baba na mtoto na hukohuko zenjiKijana Riz1 ni the next president in making.
Kuna kipindi alikuwa kwenye kashfa mbali mbali za Ufisadi na mambo mengine. Alikuwa hakauki kwenye midomo ya wengi dhidi ya Ufisadi.
Kwa sasa Kijana ametulia na ameshaweka mizizi ya mbuyu; na wazee wa familia wameshampika ….. usitokee kwenye kashfa yoyote and keep your profile very low …… kwa sababu Watanganyika ni wasahaulifu sana.
Mpaka sasa kijana ameshafulu kwa 60% …… amekuwa mtendaji wa Umma sana kuliko mwanaCCM .
Hata ukimtizama kwa sasa, anapendeza machoni, anafaa kwa matumizi, good for the body , soul and mind .
Njia inasafishwa taratibu na hili lilithibitika pale Dodoma, Baba alihakikisha Mama yake anapita kwa Azimio ili mtoto asije kulala njaa
Je kina Makamba, Nape, Doto, Mwigulu, Emmanuel, Kassimu , Makonda the great ….mtamuweza huyu mtoto wa kishua aliyezungukwa na ufalme wa Adam and Ev?
Si mnajua kuwa wachawi walishakufa?
Kazi kwenu
Ni accept hizi porojo zako?Changamoto ni je utafanya nini
Accept
Karume?Tanzania rais hawezi kujirudia kwa mtoto na baba..
Na Wakatoliki nao Pumzi imekata. ??!Kijana Riz1 ni the next president in making.
Kuna kipindi alikuwa kwenye kashfa mbali mbali za Ufisadi na mambo mengine. Alikuwa hakauki kwenye midomo ya wengi dhidi ya Ufisadi.
Kwa sasa Kijana ametulia na ameshaweka mizizi ya mbuyu; na wazee wa familia wameshampika ….. usitokee kwenye kashfa yoyote and keep your profile very low …… kwa sababu Watanganyika ni wasahaulifu sana.
Mpaka sasa kijana ameshafulu kwa 60% …… amekuwa mtendaji wa Umma sana kuliko mwanaCCM .
Hata ukimtizama kwa sasa, anapendeza machoni, anafaa kwa matumizi, good for the body , soul and mind .
Njia inasafishwa taratibu na hili lilithibitika pale Dodoma, Baba alihakikisha Mama yake anapita kwa Azimio ili mtoto asije kulala njaa
Je kina Makamba, Nape, Doto, Mwigulu, Emmanuel, Kassimu , Makonda the great ….mtamuweza huyu mtoto wa kishua aliyezungukwa na ufalme wa Adam and Ev?
Si mnajua kuwa wachawi walishakufa?
Kazi kwenu
Utaoshaje na wapumbavu wanazidi kuzaa wapumbavu kuwazidi wao?Hivi upumbavu Tanzania utaisha kweli?
Yule jamaa aliejaribu kusimama yupo wapi ?Na Wakatoliki nao Pumzi imekata. ??!
Maana utaratibu uliozoeleka upo hivyo !
Au imeshapangwa na ikapangika ??!
Muda utaongea !
Mkutano ule wa Dodoma ulileta viashiria vingi vya kwamba sasa chochote kumbe kinawezekana Chamani !
Wenye Chama wameamua alisikika Mzee mmoja akigugumia kimoyomoyo 😳 !
Ngoja Tusubiri tuone !
Rais anayefuata lazima awe katoriki ndio aje ustadhi tenaKijana Riz1 ni the next president in making.
Kuna kipindi alikuwa kwenye kashfa mbali mbali za Ufisadi na mambo mengine. Alikuwa hakauki kwenye midomo ya wengi dhidi ya Ufisadi.
Kwa sasa Kijana ametulia na ameshaweka mizizi ya mbuyu; na wazee wa familia wameshampika ….. usitokee kwenye kashfa yoyote and keep your profile very low …… kwa sababu Watanganyika ni wasahaulifu sana.
Mpaka sasa kijana ameshafulu kwa 60% …… amekuwa mtendaji wa Umma sana kuliko mwanaCCM .
Hata ukimtizama kwa sasa, anapendeza machoni, anafaa kwa matumizi, good for the body , soul and mind .
Njia inasafishwa taratibu na hili lilithibitika pale Dodoma, Baba alihakikisha Mama yake anapita kwa Azimio ili mtoto asije kulala njaa
Je kina Makamba, Nape, Doto, Mwigulu, Emmanuel, Kassimu , Makonda the great ….mtamuweza huyu mtoto wa kishua aliyezungukwa na ufalme wa Adam and Ev?
Si mnajua kuwa wachawi walishakufa?
Kazi kwenu
Hawajawah kuwa na Impact trust meUnadhani TEC 'watawala' wa nchi hii watavumilia waislamu mfululu?
Way forward ?Duuh,
Hii nchi Azimio la Rushwa la Zanzibar linaiponza sana Tanganyika.
Watu wanageuza rasilimali za nchi kuwa za familia zao matokeo yake ndio hayo. Familia inageuka kuwa dola na kupanga wanachotaka kwa nguvu ya Dola .
Mmiliki wa linchi likubwa lenye rasilimali nyingi duniani alikua ni Mfalme Leopard wa Ufaransa.
Madhara yake mpaka leo yanaendelea Kongo kwa sababu aliimiliki Kongo kwa Damu na ukatili mkubwa.
Hawa watoto ni masilence killer kiuchumi ,kisiasa na kijamii(wauza madawa na mawakala wa kusapoti ugaidi ) .
Huyu jamaa na Mchengerwa ni watu hatari sana . Kufikia 2035 magenge maovu yataibuka chini ya ufadhili wa hawa watu wanaoonekana wazuri kwenye macho ya watu lakini roho zao za kibepari na kikoloni ni mbaya sana.
Ubepari ni unyama . Hakuna bepari anayetaka kushuka chini kirahisi. Ugaidi Afrika ulikaribishwa na watawala wenye tamaa ya fedha na Wafanyabiashara .
Rwanda na Uganda ugaidi unashindwa kwa sababu ya utawala usiokubali kutumiwa na matajiri wa nje.
Tanzania kuna ufadhili mkubwa wa magaidi kwa sababu tunaowaona ni wema ndio wanaotuuza ili wapate pesa za mtandao wa kimataifa wa ugaidi kwa malengo ya mabeberu
But walikuwa wanapiga makofi what else !Na Wakatoliki nao Pumzi imekata. ??!
Maana utaratibu uliozoeleka upo hivyo !
Au imeshapangwa na ikapangika ??!
Muda utaongea !
Mkutano ule wa Dodoma ulileta viashiria vingi vya kwamba sasa chochote kumbe kinawezekana Chamani !
Wenye Chama wameamua alisikika Mzee mmoja akigugumia kimoyomoyo 😳 !
Ngoja Tusubiri tuone !
Kwa muono wangu!Kijana Riz1 ni the next president in making.