Kwa wale wana CCM mnaoutaka Urais 2030, Je mtaiweza nguvu ya Ridhwani Kikwete?

Nchi hii mnaichezea sana!endeleeni tu
 
Anatoka Rais Muislam ,aingie Rais Muislam, hakuna kitu kama hicho.
 
Rais ajaye ni wa dini ya kikristo, hasa dhehebu la katoliki
 
Je kina Makamba, Nape, Doto, Mwigulu, Emmanuel, Kassimu , Makonda the great ….mtamuweza huyu mtoto wa kishua
Hawa kama wanautaka wamzuie huyu mwanamke raia wa nchi ya Zanzibar asiupate urais 2025.

Kuna za ndani kabisa zinasema huyu mzanzibari mwanamke anataka kumwachia yule waziri wa mambo ya nje (mzanzibari mwenzake). Itakapokaribia kuisha hiyo 5 ya pili ataigeuka Msoga gang mpk haitaamini.
 
Way forward ?


No reform No Election itawasaidia pia watu wa CCM wenye nia njema na Taifa hili kwa kuwa na uhuru wa kujitokeza kugombea kwa kushindanishwa hoja na kuwaambia watanzania nia na maono yao kwa vizazi vya watanzania .

Kwa Katiba hii na mfumo huu ni wazi kuwa Tunachaguliwa viongozi na magenge ya magaidi ,mabeberu , wauza unga na matajiri wanaoshirikiana na mafisadi ndani ya CCM na serikali kwa ujumla.
Ni hatari sana.

Hata enzi za utumwa kuna watu walitajirika kwa kuwasaliti na kuuza ndugu zao .
Ukiona siasa zinatawaliwa na magenge ya matajiri katikakati ya umaskini ni wazi kuwa kinachozingatiwa ni mali na madaraka tuu .

Kuna vijana ndani ya CCM wanaowaza kuwa wanaweza kufikia ndoto zao nje ya Marekebisho ya katiba na tume ya uchaguzi . Wanajidanganya sana.

Mfano Makonda ni hawezi kutoboa mbele ya Riziwani ,Mchengerwa ,Jafo, Nape, Makamba na Hussein Mwingi,Mwigulu n.k. japo kwa ufisadi unaoendelea Makonda anaushawishi mkubwa zaidi . Lakini Pia Jafo hawezi kutoboa mbele ya Riziwani na Mchengerwa japo Jafo ni Bora zaidi .

Mpina hawezi kutoboa Mbele ya Makonda japo Mpina ni Bora zaidi .

Halfrey Polepole hawezi kutoboa mbele ya Mwigulu japo p
Polepole ni bora zaidi kuliko Mwigulu.

Majaliwa hawezi kutoboa mbele ya Samia japo Majaliwa ni bora zaidi kuliko Samia .

Kabudi hawezi kutoboa mbele ya Makamba japo Kabundi ni bora zaidi kuliko Makamba .

Lukuvi hawezi kutoboa Mbele ya Wasira japo Wasira ni bora zaidi kuliko Wasira .

Hata ndani ya mifumo ya vyombo vya dola ,mahakama na bunge .Wale wenye uwezo hawawezi kutoboa mbele ya mawakala wa mafisadi ,matajiri na magaidi . Haya magenge ndiyo yanayoweka viongozi dhaifu na wapenda ufisadi na kujilimbikizia mali .Hawajali kabisa Kitu kinachoitwa Wazawa . Kwao kila kitu ni cha dunia nzima . Mafisadi hawakuanza leo . Walikuwepo tangu enzi za Mitume na manabii lakini wengi walijali zaidi mambo yao sio kupigania haki ya kisiasa ,kiuchumi na kijamii .

Mafisadi na mabeberu wanapenda serikali Corrupt ili waiweke mfukoni kwa kutumia pesa .

Kariakoo,Buguruni, Ilalala ,Ubungo ,Manzese, Mbagala , Gongo la Mboto, Tandika , Mwenge wakiamua kuilazimisha Serikali kufanya mageuzi ya Kiuchumi na kisiasa kwa manufaa ya leo na kesho ya vizazi vyao wanaweza .

Mgomo unaofanywa na Wafanyabiashara wadogo nchi nzima haiwezekani kuzuiwa kwa namna yoyote popote duniani .
 
Wewe lazima utakuwa mswahili toka mikoa ya pwani.
 
Akigombea huyu Nampa big up ila Sasa ni zamu ya wale roho mbaya wa dini Ile sijui watamuweka nani.

Riz1 labda 2040 huko.
Don't you see Nchimbi?. He's Catholic and the next veep in Tanzania, coming from inland, so y'all should expect him to be a stronger candidate in 2030 like Mzee Malechela back in those days before Nyerere played tricks on him.
 
Tlaatlaah Lucas Mwashambwa
Njooni upesi, kuna madini ya kuwatoa ukungu na tongotongo machoni huku
 
Ataachwa na kijana kutoka familia ya kimasikini Lisu
 
Don't you see Nchimbi?. He's Catholic and the next veep in Tanzania, coming from inland, so y'all should expect him to be a stronger candidate in 2030 like Mzee Malechela back in those days before Nyerere played tricks on him.
he will make a strong candidates if he chooses to do so ; but that does not mean anything

Being Catholic or not being Catholic is unconstitutional and might not be a category

Expect the unexpected
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…