Kwa wale wanaotokea Tabora: Kwanini Tabora kuna vichaa na wehu wengi mjini na vijijini?

1.Wepesi kulipa visasi(hurogana) wanaoroga Tabora si wanyamwezi pekee
2.Treni inasimama muda mrefu vichaa kutoka Kigoma hushuka hapa.
3.Bangi madawa ya kulevya njenje
{Isevya Chemchem Ng'ambo)
Daaah nimecheka sana aiseee hyo ya tren la kigoma
 
Uchagani (Rombo zote !) ndio imevunja Guiness !
 
Uchagani (Rombo zote !) ndio imevunja Guiness !
 
Mkuu watanzania walishanishinda tabia kwa kukandiana ili hali wote choka mbaya tofauti ni ndogo sana
 
Kichaa...vichaaa! Naona hili linatrend wiki hii
 
Wewe kweli "Msela Wa Manzese" Eti vichaa wanapigana miti hadharani ......
 
Aisee " hapo sio demu tu " ni katika masuala mengi nyeti yanayotuhusu katika maisha ..mfano ununuzi wa viwanja na mashamba " waweza nunua kimoja wapo katika hivyo kumbe kina mgogoro" mwisho Wasiku wajikuta umeingia kwenye mgogoro wakutupiwa majini '" narejea tena kutamka " huko hapafai
 
1.Wepesi kulipa visasi(hurogana) wanaoroga Tabora si wanyamwezi pekee
2.Treni inasimama muda mrefu vichaa kutoka Kigoma hushuka hapa.
3.Bangi madawa ya kulevya njenje
{Isevya Chemchem Ng'ambo)
Mkuu hivyo ndivyo visababishi vikuu.

Lakini jambo kubwa la kisababishi cha kufyetuka akili ni bhangi.

lkiwakolea, huona ukali wa asili hauwatoshi, hutafuta vinyesi vikavu vya binadamu maporini na kuchanganyia, wao hiliita bangi la mavi.

Wehu wengi wakidhibitiwa na ndugu zao wasizurule ovyo na kunyimwa uhuru wa kuvuta, hupata afueni ya akili na kuwa wazima hadi hauwezi kuamini kama mtu yule alikuwa mwehu.

Wakiachiwa huvuta na kurudia tena matatizo yao ya akili.
 
Albadiri katika ibora wake.
 
Hah hah umenikumbusha June 2014 ndani ya Mboka kumcheki lovely daughter nakumbuka bibie alinambia Mboka kuna vichaa wengi sababu wakiwaibia wasukuma basi wanawatia uchizi tupu.

Misses u lovely daughter and my bbie who real loved me sema utoto tu na ulimbukeni, bado nawakumbuka snaaa bt still hustling and kicking,see u one day in za name of Jah.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…