Kwa wale wanaotokea Tabora: Kwanini Tabora kuna vichaa na wehu wengi mjini na vijijini?

Katika miji inayoendelea vichaa, wehu huwa wanaongezeka, pia na Uwepo wa chakula, wehu Hawezi kuishi sehem ambapo Kuna janga la njaa.
 
Achana nae kiongozi, mtu alieishi tabora hawez bisha kuhusu vichaa kuwa wengi ....mimi nimewai ishi kaliua pale mjin mjin, kuna siku nilamua kuhesabu machiz wa pale tu, karibu 20 iv....watu ni vichaa......na hapo pale mjin ni padogo kweli kweli!!!!!!! Ila chanzo chake ni kulogana wanavyosema wenyeji ...kama ukiiba, kula mke wa mtu, pamoja na bangi!!!!! Kwa uchawi napo umezidi kila mtu wa tabora ukikutana nae jarib kumuangalia kifuani mara nyingi huwa na charr
 
Haaaaa mkuu kumbe unawafahamu vizuri haaa ati chiiii
 
Inaelekea atatokea rais huko maana lazima awe kichaa
 
Halafu kasie mimi utafikiri nililogezewa wanyamwezi na wasukuma yaani kuanzia nabalehe mpaka sasa hivi nina watoto watatu, wanawake wangu wote ni Kati ya hayo makabila mawili. na nimeishia kuoa mnyamwezi. huwa najiuliza sipati jibu
 
Asumani nuna kitambo sana RIP alafu saivi wapo wengi so vigumu kuwajua majina labda Bakari Mwehu
yah ye alivita ktambo zaidi wamwisho mwisho alikuwa supa tolu naye naskia alivuta cjui uyo bakari simsomi atakuwa chipkizi coz nmetoka mboka ktambo kdgo
 
Mimi ni wakule buzebazeba (in mmanyema accent)[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
Halafu kasie mimi utafikiri nililogezewa wanyamwezi na wasukuma yaani kuanzia nabalehe mpaka sasa hivi nina watoto watatu, wanawake wangu wote ni Kati ya hayo makabila mawili. na nimeishia kuoa mnyamwezi. huwa najiuliza sipati jibu

Unaroho ngumbu,japo unakula kisamvu orgino cha makaburinip.
 
Halafu kasie mimi utafikiri nililogezewa wanyamwezi na wasukuma yaani kuanzia nabalehe mpaka sasa hivi nina watoto watatu, wanawake wangu wote ni Kati ya hayo makabila mawili. na nimeishia kuoa mnyamwezi. huwa najiuliza sipati jibu
Wakulugo! gapanga bhabha,zya kunuko!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…