Kwa Wanandoa: Bila tendo la ndoa hakuna ndoa(?)

Kwa Wanandoa: Bila tendo la ndoa hakuna ndoa(?)

Donatila Wambie ubunifu pia muhimu..na uvivu waache..Mtu akiambiwa kaa hivi,ohhh siwezi...

Unamwambia fanya hivi anakwambia mchungaji kasema...Kidogo mara nimechoka..Yani tafrani..

Mtu Style anayoijua yy ni moja tu popo kanyea mbingu..deile hiyo hiyo wala hataki kujiongeza...Ukipata mume mwaminifu kama mm ndo anaweza kuvumilia..Wengine watachepuka tu

Hongera kwakua mwaminifu Mungu azidi kukupigania.
 
Last edited by a moderator:
Waache tu walimuonea Mkwele lakni Magufuli amesema atawakomesha hadi waseme basi.HAPA KAZI TU
 
Donatila Wambie ubunifu pia muhimu..na uvivu waache..Mtu akiambiwa kaa hivi,ohhh siwezi...

Unamwambia fanya hivi anakwambia mchungaji kasema...Kidogo mara nimechoka..Yani tafrani..

Mtu Style anayoijua yy ni moja tu popo kanyea mbingu..deile hiyo hiyo wala hataki kujiongeza...Ukipata mume mwaminifu kama mm ndo anaweza kuvumilia..Wengine watachepuka tu

Kama ni kweli hongera kwa uaminifu.
 
Last edited by a moderator:
Habarini,

Tujikumbushe wanawake, maana ubize wa kazi nao unatufanya tuwanyime wwanaume mchezo uleee...

Naona hili suala bado wanawake halijawakaa sawa, Kumekua na malalamiko huku ndani mengi kuhusiana na wanawake kuwanyima tendo la ndoa waume zao au kuwapa kwa kubeep.

Sikia wewe mwanamke ulieolewa, Ndoa haiwezi kukamilika bila huo mchezo, na wanaume wanatoka nje za ndoa zao kwakua wanawake wao wanawapangia siku za kufanya mapenzi.

Mwanamke hakikisha unampa mumeo mchezo wakati wowote akitaka na pia usisubiri akuombe muandalie mazingira ya kucheza kamchezo hako, mpe mama ale ili asitoroke.

Mwanamke unajifunika muda wote mkiwa ndani acha mwili wako kimtego zaidi. Hatakama umechoka tafuta njia ya kumfanya mumeo aridhike kwa kachezo hako.

Najua makungwi wapo huku, Karibuni tujikumbushe atoto evelynesalt misschaga

Dah, yani unaoneka kweli wewe ndio mwanamke sahihi... kama kuna unae mpa hako ka mchezo atakua ana faidi kweli... afu kwa nn wanawake wote hawawi na akili kama hizi!
 
Last edited by a moderator:
Hasa cha asubuhi ni shiiiida, wanakuwa wagumu kutoa
 
Leo naomba tuwekane wazi juu ya hili maanake naona vijana wengi siku hizi wana maoni tofauti juu ya ndoa na maana yake na namna ya kuidumusha

Wengi wana illusions za maisha ya ndoa walio wengi wanaamini tendo la ndoa linachukua asilimia kubwa zaidi na mengine ni kidogo sana.

Ukweli ni kwamba ndoa ni zaidi ya kugegedana, japo tendo la ndoa ni kiungo kikubwa katika ndoa, lakini hilo sio kila kitu, ndoa ina mengi na ndo maana tukiwa alter tunaapa katika shida na raha.

Ukiingia kwenye ndoa kwanza kumbuka umejitoa kwa ajili ya yule mwenzi wako ambaye mnatoka katika malezi tofauti tofauti na pia mmeunganisha koo mbili ambazo zote macho yao bado yapo juu yenu, kwani ninyi kufunga ndoa haimaanishi kwamba mtakuwa na ulimwengu wenu wenyewe.

Kwa sababu hizo basi katika ndoa haya yanaweza kutokea:

- Kutoelewana kati yenu.

- Kutoelewana kati ya mmoja wenu na ndugu.

- Ugonjwa wa kufisha kati ya mmoja wa ndoa.

- Malezi ya watoto.

Na mengine mengi ambayo ukiyaangalia yakijitokeza hata huwezi kufikiria tendo la ndoa.

Hivyo basi, this is my take:
Kwa vijana tuache kuliweka tendo la ndoa kama kipaumbele ambacho tungependa wenzi wetu wa ndoa wawe nacho sijui awe mjuzi kiasi kuonja kabla ya ndo ndio imekuwa habari ya mjini, hilo ni la ziada tu mengi yanahusika.

Nawasilisha karibuni wote kwa pamoja tulijadili hili na wenye uzoefu watupe uzoefu wao ili sote tujifunze na tunufaike.
 
Umesema vema, Kikubwa kwenye ndoa kuwe na AMANI, UPENDO na KUHESHIMIANA vingine vyote vita-workout.
 
Ni kweli tendo la ndoa si kila kitu, ila ni moja ya mambo muhimu sana ili ndoa iwe. If sex is terrible, there won't be no marriage. That's why I believe in test-driving before making it black n' white, to save each other from unnecessary drama in case we are no match. She's gotta put her ring on it(figuratively), before I put a ring on it (literally).
 
Mtoa mada acha mambo ya ajabu. Kama jina lenyewe linavyosema "NDOA" na hata tendo linavyoitwa "TENDO LA NDOA" hii inamaanisha kuwa bila ya tendo la ndoa hakuna ndoa. Kama tendo la ndio sio ndoa yenyewe basi vijana wangechukua Dada zao waishi nao..
 
Ni kweli tendo la ndoa si kila kitu, ila ni moja ya mambo muhimu sana ili ndoa iwe. If sex is terrible, there won't be no marriage. That's why I believe in test-driving before making it black n' white, to save each other from unnecessary drama in case we are no match. She's gotta put her ring on it(figuratively), before I put a ring on it (literally).
Ni kweli tendo la ndoa si kila kitu, ila ni moja ya mambo muhimu sana ili ndoa iwe. If sex is terrible, there won't be no marriage. That's why I believe in test-driving before making it black n' white, to save each other from unnecessary drama in case we are no match. She's gotta put her ring on it(figuratively), before I put a ring on it (literally).
copied!
 
Back
Top Bottom