Kwa wapenzi wa Korean Dramas, hii ni thread yako!

Navyoonaga uvivu sasa kusikiliza hizi videos(sikumbuki kama huwa nasikiliza attached videos hapa JF)

Nihadithie manake Iris yenyewe nimeigoogle ni ya 2009 huko sijui hata kdrama ni nini wakati huo
β€œWe loved each other, we are now breaking up.”

β€œWe are in different places under the same sky, but please don't forget me.”

Siyo mzuri kwenye kuandika lyrics ila hiyo mistari imebeba ujumbe uliojitosheleza.
 
Siku zote wafalme hawachagui Queen wenyewe huwa mashauri lazima yazingatiwe na yanawekwa mbele maslahi ya Taifa kwanza kabla ya moyo.

Ndio maana King Geumwa alimfanya Queen Mama Daeso kutoka ukoo wa Maga japo hakuwa chaguo lake ni kwa sababu , Maga clan is powerful na kuimarisha utawala , Bang Won vilevile alitafita powerful and influencial clan kuoa ili kuupa nguvu utawala.
 
Hii imfikie mfalme wetu Intelligent businessman kuwa koo zenye nguvu ndiyo ustawi wa utawala imara, anayempenda yeye amfanye concubine ila anayetakiwa na baraza atakuwa malkia.

Zaidi ya hapo reform itahitajika.

Khalas πŸ˜‚
 
Asichukulie poa nguvu ya Baraza la Mawaziri na wanamtandao .

Maana tunaweza kumfanya hata BICHWA KOMWE - kuwa Malkia
 
Hii imfikie mfalme wetu Intelligent businessman kuwa koo zenye nguvu ndiyo ustawi wa utawala imara, anayempenda yeye amfanye concubine ila anayetakiwa na baraza atakuwa malkia.

Zaidi ya hapo reform itahitajika.

Khalas πŸ˜‚
😝😝😝😝msimalize maneno. kuna siku mtanikubali🀣
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…