Intelligent businessman
JF-Expert Member
- Sep 6, 2022
- 46,398
- 102,530
Ile shine or go crazy ana style yake ya kucheka cheka, ana cheka huku ana kupiga panga.All time favorite, hii drama na ile OST yake havitokaa vitoke akilini mwangu.
Sasa hivi nairudia drama yake ya Shine or Go Crazy, hatari sana.
Duh ndo naicheki sahiz niko episode ya 7Kuna aliye tazama the manipulated
Ni nzuri?Duh ndo naicheki sahiz niko episode ya 7
Yeah, kwa upande wangu ni nzuri naweza kuipa hii 7.9/10Ni nzuri?
Mbona kila kitu kiliisha wanataka kutuleetea uongo gani hawaππ
Mkuulink ya kupakuwa filamu za wahindi,
msaada
Descendants naludia sababu ya yule Sargent ππWewe haurudiagi Descendants mkuu ?
Hiki chumaaπ₯adriz usije sema nime kutenga, ruka na chuma cha porini hiki kitambo ila jang hyuk ali gawa dozi.
Slave hunters.
View attachment 3533326View attachment 3533327
Hahahahaha π€£! hamna Mzee KiLove strory kinagusa tu Mimi ninavyodhaniDescendants naludia sababu ya yule Sargent ππ
π€£π€£π€£Zoba gani huyo anaongelea wachina wakati huu uzi unahusu Korean drama
Hii kitambo sana nimeicheki .adriz usije sema nime kutenga, ruka na chuma cha porini hiki kitambo ila jang hyuk ali gawa dozi.
Slave hunters.
View attachment 3533326View attachment 3533327
Bado sijapataMkuu
Ulipata??
Ishi nayo hii NaijaPrey | 2026 Latest Movies & Series DownloadBado sijapata
Haikuisha, binti aliondoka kwenda us, hatujui wale majamaa maisha yao yali enda vipi?Mbona kila kitu kiliisha wanataka kutuleetea uongo gani hawaππ
Hii wameforce tuuπππHaikuisha, binti aliondoka kwenda us, hatujui wale majamaa maisha yao yali enda vipi?
Huyu wa kupiga sasa πnilisha mpa sidhani kama Kamaliza, empress ki yenyewe nusura tugombane ππ€£.
- tale of nokdu
- my country
We fimbo ya muanzi inakuhusu πNimerudia jumong mara kibao , ninrerudia Vincenzo baadhi ya episodes, nimerudia Sux flying dragon baaadhi ya episodes, emperor of the Sea niliwahi kurudia full , Kingdom of the winds nayo full nilirudia , Arthdal Chronicles 1 episodes kadhaa nilirudia . Sasa nataka kurudia arthdal Chronicles 2 full.
Kigongo kipya ambacho sijawahi kucheki nacheki now ni Royal Gambler
Hili jombo nalisubiri kwa hamu zote, adriz hawezi elewa kitu hapa π
Fala πDescendants naludia sababu ya yule Sargent ππ