Kwa Wazazi ambao watoto wenu bado hawajapokelewa shule za English Mediums kwa sababu bado hamjalipa ada, pitieni hapa

Unawaza ajira portal 2024!work up brother
 
Kupanga ni kuchagua. Junior kama umemuanzisha English Medium muache amalizie huko ukimleta kayumba mpaka akae sawa inabidi ukaribu wa kumuweka sawa. Anakutana na wenzake darasa limejaa , walimu wana stress za kuliwa pesa na Cwt hakuna kubembelezwa mambo ya don't do hakuna ni mapigo na mwendo.
 
Tafuta hela mkuu uache makasiriko kufananisha masaki na mbaghala. Wakati mwingine watu sio tu kwamba wanawatafutia watoto wao shule za bei ili wapate elimu!!? Hapana wanawatengenezea marafiki flan wa Future. Tuseme kwa mfano mwanangu anasoma shule moja na mtoto wa makamba it's obvious watakuwa marafiki na ndio connection zenyewe ukubwan sio kila uliyesoma nae ukisema umtafute hata mpige story mnakuwa mnaelezana majanga tu. Garamia sana eneo utaloishi na familia maana majiran zako ndio connection za watoto. na gharamia sana elimu ya wanao maana Future yao inategemea na waliomzunguka. Hii biashara ya kulewea pombe bar ada za watoto halafu unakuja hapa kujifanya mshaur wa kijiji mzee acha watu wana mipango yao tayar. Acha kujipa umuhim kwenye life la mtu. Biblia inasema atafutae atapata abishae atafunguliwa na aombae atapewa. So chochote unachokitaka kwa kudhamiria utakipata. Ucwe kama wale watu waliochemka kutafuta hela kwasasa wamebaki kuwasema waliopata ni mafreemasson.
 
Life haina formula chini. Ungeniambia waliosoma wote shule hiyo ni madalali wa vyumba mjini au wote waliosoma kayumba by that time nao wote wamefanikiwa ingekuwa ni hoja.
 
Tafuta hela.
 
Ushauri wako mzuri sana.
Huu ushauri wako mpelekee Bakhera, Mwigulu, Samia, Diamond na Majaliwa watakushukuru sana.
 
Nasema hiviii mwanangu hatasoma kayumba hata iweje
Shida linapokuja watu wenye akili za kimasikini wanataka wawashauri wenzao waishi kimasikini kama wao.
Una pesa halafu watoto wanasoma Kayumba, unatafuta pesa za kazi gani? Si bora uache kutafuta pesa tu.
Kama pesa ipo lazima itumike hakuna namna.
 
Mtoa mada nnachoweza kukushauri ni tafuta oesa na punguza makasiriko, kwa Tz tuliyonayo leo, asilimia 70 ya watoto wanaosoma Kayumba ni wale ambao either Baba kakimbia majukumu alafu mama hana pesa, au wale watanzania wanzangu wa kipato cja chini ambao baba akiacha buku 5 mezani siku hiyo shangwe. Zaman kusoma Kayumba ilikua sio shida maana hata mwamko wa elimu tu ulikua tatizo. Ila kiukweli kwa sasa kusoma Kayumba ambako waalimu wetu ndo hawa hawa mishahara duni na zero motivation then unategemea atadedicate muda wake kwa mtoto wako… NEVER

TAFUTA PESA MZEE
 
Mwanangu hajasoma kayumba, yupo chuo sasa hivi.. Na sio Nkrumah hall jalalani wala popote karibu na hapo.
 
hakika
 

Sasa shuleni mtu anapata connection gani?
Afrika inamambo
 
bro umeongea vizuri sana nimekuelewa hasa uliposema kuchelewa kulipa ada sio kushindwa kulipa ada hizo na changamoto na ni suala la kusolve. pia changamoto haikimbiwi
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…