Kwa Wazazi ambao watoto wenu bado hawajapokelewa shule za English Mediums kwa sababu bado hamjalipa ada, pitieni hapa

Kwa Wazazi ambao watoto wenu bado hawajapokelewa shule za English Mediums kwa sababu bado hamjalipa ada, pitieni hapa

Hii mada ni nzito sana. Kikubwa ni kila mtu afanye kulingana na uwezo wake. Kama huna uwezo peleka mtoto St Kayumba, Mama Samia kashalipia kila kitu. Wale ambao hawana watoto bado wapambane sana kujiweka sawa kwa ajili ya vizazi vyao. Hakuna ufahari wowote kufurahia elimu bure kwenye shule yenye sifuri 167 form 4. Wazazi wengine wamefikia hatua ya kusema hawana uwezo wa kununua sare za shule kwamba wao ni wanyonge!!.. si wangepiga tu nyeto kama dronedrake?
 
imefikia hatua sasa ubora wa elimu anayopewa mtoto unapimwa kwa yeye kuongea kiingereza fasaha akiwa na baba yake au mama yake wakiwa matembezi weekend.

maarifa na uelewa wa mambo sio kipaumbele.

ndio sababu akina matumbotumbo mmewaona wameanza kuwaandaa watoto wao kwenye stream za uongozi kupitia ccm chipukizi,miaka 10 ijayo haitakuwa tena unajua kiingereza kiasi gani tukupe kazi(hazitakuwepo).itakuwa umejifunza nini shuleni kuja kupambana na masumbwi ya maisha???

anayewekeza $$ kwenye elimu ya mwanaye,asisahau kumuandalia na walau kiwanja\biashara au shamba atakaloanzia.

Kayumba nahisi inakosa vyote.
 
Mzazi anayelipa let's say 3M kwa mwaka kimsomesha mwanae kwa miaka 7 jumlisha M4 kwa miaka 6. Jumla 45M kisha gharama chuo M5 kwa miaka 3. Jumla yote 60M jumuisha additional costs inaenda kwenye 80M.

kisha anamtelekeza mwanae atafute hizi ajira za kulipwa 2M kwa mwezi na aanze maisha ya kupanga ghetto na kununua godoro ni mpumbavu.

Unawekeza kwenye elimu fake ya NECTA na madesa ya JALALANI. Na kumwacha mtoto bila mtaji wala kiwanja au nyumba ya kuanzia maisha. Huo ni ulofa.
 
Dah very hopeless aisee mtoto anasoma Hopac halafu anakuja kukata viuno jukwaani

sio tu kukata viuno. hata sokoni hana maajabu hana hit songs. kayumba wanamkimbiza.

juzi alikuwa analia Mario kamyima Korabo. mario mtoto wa buza kayumba analiliwa na mtoto wa Hopac ambebe kimuziki kwa collabo
 
sio tu kukata viuno. hata sokoni hana maajabu hana hit songs. kayumba wanamkimbiza.

juzi alikuwa analia Mario kamyima Korabo. mario mtoto wa buza kayumba analiliwa na mtoto wa Hopac ambebe kimuziki kwa collabo
Joannah
 
Nasema hiviii mwanangu hatasoma kayumba hata iweje
Mwisho wake Ni pale pale udsm Nkrumah hall ....

Na atatembelea Sana hii site www.ajira Portal .com .... interview ya kuomba Kazi Dodoma zitakuwa nyingi san ,either anataka au hataki ,,[emoji23] ....

Huko ndipo atakutana na st kayumbao Kwa sasa unawaona kama wamepotea njia
 
Mleta mada na wewe tafuteni Hela .

Wenye Hela hawalalamiki na Wala hawahitaji mleta mada lofa awasemee au kuwashauri na vi theory vyake Koko ohh production ohh what what atafute Hela

Maskini Huwa na vi theory vya ajabu ajabu na hujitia kuvielekeza Kwa Wenye nazo Eti ohh mabwege Wanapigwa.Hela zao wanalipa halafu lofa anajitia kuwa ohh mnapigwa Wakati uwezo wa kupeleka huko mtoto Hana

Uzuri Wenye pesa Huwa hawapokei ushauri Kwa mtu lofa Huwa wanapeana ushauri wao Kwa wao

Mleta mada lofa vi theory vyako peleka Kwa malofa wenzio
Cha kushangaza anayetoa Hela Yuko Okay,ila asiyetoa anaumia...si maajabu hayo
 
Ujamaa huu ndo ni wakinafiki, hauwezi kua na huruma na watoto wa mwanaume mwenzio kuliko wako. na wandugu zako
 
Back
Top Bottom