georgeallen
JF-Expert Member
- Jun 3, 2011
- 4,118
- 1,875
Mimi na wengine ambao tuna watoto wanaosoma private schools hatuwezi na hatutakaa tukuelewe. Eti tupeleke watoto st kayumba.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
imefikia hatua sasa ubora wa elimu anayopewa mtoto unapimwa kwa yeye kuongea kiingereza fasaha akiwa na baba yake au mama yake wakiwa matembezi weekend.
maarifa na uelewa wa mambo sio kipaumbele.
ndio sababu akina matumbotumbo mmewaona wameanza kuwaandaa watoto wao kwenye stream za uongozi kupitia ccm chipukizi,miaka 10 ijayo haitakuwa tena unajua kiingereza kiasi gani tukupe kazi(hazitakuwepo).itakuwa umejifunza nini shuleni kuja kupambana na masumbwi ya maisha???
anayewekeza $$ kwenye elimu ya mwanaye,asisahau kumuandalia na walau kiwanja\biashara au shamba atakaloanzia.
Paula kasoma shule Tusiime.
Wema Sepetu kasoma Academy.
What are you talking about
Mambo yao waachiwe wenyewe...
Dah very hopeless aisee mtoto anasoma Hopac halafu anakuja kukata viuno jukwaani
Mwisho wake Ni pale pale udsm Nkrumah hall ....Nasema hiviii mwanangu hatasoma kayumba hata iweje
Cha kushangaza anayetoa Hela Yuko Okay,ila asiyetoa anaumia...si maajabu hayoMleta mada na wewe tafuteni Hela .
Wenye Hela hawalalamiki na Wala hawahitaji mleta mada lofa awasemee au kuwashauri na vi theory vyake Koko ohh production ohh what what atafute Hela
Maskini Huwa na vi theory vya ajabu ajabu na hujitia kuvielekeza Kwa Wenye nazo Eti ohh mabwege Wanapigwa.Hela zao wanalipa halafu lofa anajitia kuwa ohh mnapigwa Wakati uwezo wa kupeleka huko mtoto Hana
Uzuri Wenye pesa Huwa hawapokei ushauri Kwa mtu lofa Huwa wanapeana ushauri wao Kwa wao
Mleta mada lofa vi theory vyako peleka Kwa malofa wenzio
Hii inagongelewa na muhuli wa moto,Kisha lamination....Nasema hiviii mwanangu hatasoma kayumba hata iweje