Bihashara ni muda. Uwezi kujifanyia bihashara Kwa kusikiliza ushauri wa masikiniPia wanaotoka vijijini wanateseka sana, inabidi alale mjini ili kesho yake aweze kuwahi saa 12 Kwenda mikoani, wakati angeweza kuondoka kwake mchana jioni akapata Basi Kwenda mikoani
Idea nzuri sana sanaKipindi Fast jet anakwenda Mwanza kwa bei bwerere abiria wa mabus kiasi fulani walipungua, tumeruhusu ATCL amemonopolize soko na kuufanya usafiri wa ndege ni anasa kwa mabei ya nauli ya ajabu..
Nakubaliana na wewe.Nilikuwa nashangaa magari yanazuisa moro ikifika saa 6 usiku kwa yanayoenda Dar nikabaki najiuliza Dar Moro kuna hatari gani?
Kipindi Fast jet anakwenda Mwanza kwa bei bwerere abiria wa mabus kiasi fulani walipungua, tumeruhusu ATCL amemonopolize soko na kuufanya usafiri wa ndege ni anasa kwa mabei ya nauli ya ajabu..
Kabisa zamani barabara mbaya sana lakini magari yalikuwa safari za usiku. Mimi nadhani turudi kwenye zilezile sababu walizotoa kuzuia safari za usiku na tuziangalie je bado zina mashiko? kama hakuna basi kuwe na uhuru watu kupanga safari zao kwa mujibu wa matakwa yao na chagua la abiria. Nakumbuka wakati ule kulitokea ajali usiku basi wakaamka asubuhi marufuku kutembea usiku lakini kwani ajali ngapi zimetokea baada ya hapo, nyingi tu. Baya zaidi unasema mwisho saa 5 usiku sasa kuna tofauti gani saa moja usiku mpaka saa 5 na kuanzia saa 5 mpaka asubuhi? Mimi nadhani tuache mambo ya kucopy na kupaste mambo yamebadilika uchumi uko speed tuache biashara zifanywe kwa matakwa ya walaji wako watapenda usiku na wako watapenda mchana. Hili ni kama lile la kuzuia mirungi wakati haina shida yoyote ni starehe kama starehe zingine, unaacha pombe za kienyeji unazuia mirungi😛Mbona mna maswali ya kipimbi sanaa? Hivi mnajua miaka ya 90 mabasi yalikuwa yakisafiri usiku? Ngorika, Lang'ata kutoka Arusha kuja Dar, tena barabara ilikuwa mbaya maeneo mengine. Pale Mbwewe tulikuwa kunapiga sana vyuku... Iringa, Mbeya kulikuwa na Zainabu bus, Scandinavia etc... Songea kulikuwa na Kiswere nk.. Yote yalikuwa yakipiga ruti za usiku. Sasa tunaenda mbele au tunarudi nyuma?? Hatuwezi kuingia uchumi wa juu ikiwa watu hawawezi kufanya kazi usiku, eti hakuna kusafiri usiku na asubuhi Bus zinapangiwa wote waanze saa 12 wakimbizane njia nzima, haya mambo ya kiwaki sana aisee daaah.
Hili ndo swali la msingi sanaaBarabara zote ni nzuri na zinaruhusu kusafiri usiku?
Umeongea kwa uchungu saaaaaàana sana, I can feel it BrotherHili ni kama lile la kuzuia mirungi wakati haina shida yoyote ni starehe kama starehe zingine, unaacha pombe za kienyeji unazuia mirungi😛
Safari za usiku zilikuwepo katika nchi yetu Tanzania.Nakumbuka miaka ya 1986 tulisafiri sana kutoka Dodoma KWENDA Dsm.Tuliondoka saa mbili usiku Dodoma na kufika Dsm saa kumi na mbili asub.Safari hizo zilizuiliwa Mwaka 1992 na wazir mkuu wa Wakati huo Dr John Samuel Malechela baada ya ajali mbaya ya basi ,ambalo silikumbuki na kuwaua watu wengi sana.Sababu ya ajali ilielezwa kuwa ni kutokana na dereva kushindwa kuona vizuri.Kwa upande wangu mm nafikiri mheshimiwa spika wa Bunge kabla hajashauri kuhusu hizo safari angeangalia emprical review .Yaan nn kilisababisha zikazuiliwa.Je hizo sababu bado zipo?Je ajali tu za mchana zimepungua?Mm naona sababu za ajali za usiku kwa Sasa ni nyingi sana kuliko Mwaka huo 1992.Kwa Sasa Kuna malori yanayofeli breki mengi sana barabarani.Tutegemea vifo vingi vya Watanzania.Kama mchana tu malori yanafeli breki,usiku ndio vifo vitakuwa vingi sana.
Miaka hio NDIO wanasinzia sasa Kwa taarifa YakoMimi kwa Safari za usiku labda kwa sharti moja kubwa Tuu wanaondesha mabasi usiku lazima umri wao uwe kuazia miaka50 kwenda Juu ili Dreva awe na nidhamu kubwa usiku
Mkiwapatia awa madreva vijana kumbukeni hili ni muhimu sana
Acheni kufananisha miaka hiyo sasa kwa sasa vyombo vya usafiri vipi vingi sanaMiaka hio NDIO wanasinzia sasa Kwa taarifa Yako
Angalia huyu nae!! kwa hiyo wasafiri kimbuzi mbuzi eti sababu ni bahati mbaya!Ajari saa zingine ni bahati mbaya