Ina maana matangazo yote haya bado ulikuwa hujaamini Bishanga..? Mkajinyonge wenye wivu.. wenyewe tumetulia.. tunazidi kuvutia.. mtaimba sana na mwisho mtapita.. mahaba yangu na Paloma katu hayatayoyoma..
Mahaba Bishanga.. anahitaji mahaba zaidi toka kwangu.. Na kama una swali ninaomba uniulize mie.. Vinginevyo nitakusemea kwa The secretary wanifanyia fujo zisizoeleweka huku..