Kwamba naye mkuu wa muhimili fulani anawekwa pembeni?

Si uliona mpango alijikataa mapemaa.. ilaa kassim atarudi 2030 kugombea urais amini nakwambia
Alijikataa au alikataliwa kwa script? Ashindwe kukataa majukumu ya jiwe akiwa ametoka kuponea kifo kwenye uviko aje akatae akiwa fiti we michezoπŸ˜…πŸ˜…
 
Kwa akili hizi ndiyo maana unaota ukilishwa nyama na kupigwa na watu ukiwa makaburini huko!

Ila Yutongs muhimu sana maishani aiseeπŸƒπŸΏβ€β™‚οΈπŸƒπŸΏβ€β™‚οΈπŸƒπŸΏβ€β™‚οΈπŸƒπŸΏβ€β™‚οΈπŸƒπŸΏβ€β™‚οΈπŸƒπŸΏβ€β™‚οΈπŸƒπŸΏβ€β™‚οΈ

We jamaa bwana ila eniwei 🀣🀣
 
Desert mission lakini kagoma katukatu hata yaharibike vipi na lile gazeti lenu pale JKICC alipokuwa na wale UWT mhariri alimnukuu vibaya.
Mkuu kwahiyo 'brother' hatapata nafasi ya kutekeleza yale majukumu mliompa?
 
πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ«΅πŸ«΅πŸ«΅ Yaani shimba mi nataka siku mkeo ashike simu hiyo wallah utalia na kusaga meno πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚
 
πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ«΅πŸ«΅πŸ«΅ Yaani shimba mi nataka siku mkeo ashike simu hiyo wallah utalia na kusaga meno πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚
Mke wangu ni mshikaji mno. Actually akiona yutong ya kueleweka huko kwenye mishe zake huwa anahakikisha anapiga picha halafu akija ananionyesha tunacheka weee na kupiga umbea mpaka tunasinzia. Ukioa rafiki, mtani na mshikaji wako halafu mkaelewana na kuaminiana aisee raha sana....

πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚Daaaaah hiko kichwa kimekutana na kichwa cha namna ile ile wakuuu kueni seriously na mahusiano sasa
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…