Kwamba naye mkuu wa muhimili fulani anawekwa pembeni?


Kwa kifupi unataka kusema kuwa wana paruana na kufiruana..!!
 
Hata sijaelewa unaongelea nini. Labda wajuzi watakapokuja na kufungua code. Kwa sasa nawakumbusha tu kuwa mwisho wa kuchukua fomu ni leo....

View attachment 3391295
Mgombea ubunge wa wapi huyu nikampigie kura?

CCM mko madarakani miaka zaid ya 60 na Kuna sehemu ndani ya nchi watu wanakunywa maji ya mtaro Bora mtuletee wabunge wa hivi tusuuze nafsi zetu
 
Kwa maelekezo aliyoyatoa Samia kwa Mkuu mpya wa Mkoa wa Mbeya ni ujuha kufikiri kuwa Tulia hatokuwa Mbunge na Spika.

Mleta mada anawachanganyia maboya tu kuwatoa kwenye focus. Yaaani Rais wa IPU aachwe na CCM kwenye ubunge??? Ni mjinga tu ataamini hili.

No Reforms No Election ✊️ ✌️
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…