Kwani Makonda alitenda dhambi ngapi? Mbona anataka kuombewa na kila mtu?

Soon yuel shehe wa ccm aliyemkana bashit kigamboni ataanza kujongea kwenye kidonda
 
Huyu bwanamdogo hana akili hata ya kuazima. Kicheo kidogo hicho hawezi tako chini, kila siku ni show off, anapenda sana makuu. Hayupi pale kufanya kazi, ni maonesho. Aliyemteua ndiyo wa hovyo zaidi, sijui mama amepatwa na nini, binafsi tangia amteue huyo lofa sina imani naye tena.
 
Makondo anayatumia vizuri mafundisho aliyopata kwa Marehemu Magufuli, na afuata nyayo zake. Viongozi wa dini wanao mfanyia Maombi na Dua ni wale wale waliokuwa wa Marehemu. Pia kuna wale wagangq aliokuwa akiwabeba na kuwapeleka Ikulu wakati wa awamu ya 5, nao kuna wengine bado nao wanamsaidia. Tusimshangae huo ndio utamaduni.
 
Hakuna upako bila kufanya toba ya kweli. Na toba ya kweli, kwanza ni kuwapigia magoti uliowadhulumu, ndipo uende nyumbani mwa bwana kuupata utakaso. Vinginevyo, anavyozidi kuwafool viongozi wa dini, anazidi kuchota laana badala ya baraka.
Nafsi inamsuta kila anapokwenda anaona mambo bado ......malue lue ni yale yale.

Angeenda kwa TB Joshua tu
 
Zaidi ya kulialia bado hujajibu tulichouliza .
 
Acha ujinga na amka usingizini. Watu wanaandika ili nyie mliolala na kuota ndoto ndefu kama hii mzinduke.
Wewe unadhani kuna toba yakweli kwenda na kamera za Wasafi na Cloud?
Kwanza unasamehewaje dhambi kwa kumuomba Pengo au Malasusa? Viongozi hao wa dini wanajua misingi ya kuomba toba ikoje! Mtafute uliyemkosea uanze naye kabla ya kumgeukia Mungu. Ukishindwa omba hadharani kwanza sio kwenda kwa hao watumishi wa kanisa cum wanasiasa pia.
Makonda ni Tapeli wa kisiasa wa level ya chini sana, labda kwa vile utapeli wa Dunia ya sasa lazima uwe na elimu pia

Sent from my SM-A125F using JamiiForums mobile app
 
Makonda' dishi limeyumba
 
Asante sana
 
Mwee hadi waganga?
 
""YULE MPEMBA ALIYEUA NA KUZIKA MDENI WAKE,ILALA, HAKUKOSA HATA SWALA MOJA KILA SIKU""
 
Umemaliza kila kitu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…