Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Huyu bwanamdogo hana akili hata ya kuazima. Kicheo kidogo hicho hawezi tako chini, kila siku ni show off, anapenda sana makuu. Hayupi pale kufanya kazi, ni maonesho. Aliyemteua ndiyo wa hovyo zaidi, sijui mama amepatwa na nini, binafsi tangia amteue huyo lofa sina imani naye tena.Kiukweli sijawahi kuona mtu anayetaka kuombewa na kila dhehebu, huyu ni wa kwanza , yaani ukivaa msalaba au Baraghashia , au ukishika Tasbih au Rozali basi atakuvamia umuombee!
Kwanini anataka aombewe na kila mtu , alitenda Makosa gani? Je ni mzima au amepata matatizo ya Ubongo , hivi hawa wanadamu anaotaka wamuombee wenyewe ni waadilifu kiasi gani?
Kwa Mujibu wa Maandiko Matakatifu , Njia pekee ya kusamehewa na Mungu ni kukiri makosa hadharani na kuwaomba radhi kwa mdomo wako wote uliowakosea , vinginevyo ni sawa kutwanga maji kwenye kinu .
Angalizo kwa viongozi wa dini , na angalizo hili mlizingatie , si kila mtu ni wa kukaribishwa mazabauni , mkiendelea hivi mtakumbana na adhabu ya Mungu waziwazi.
Hata sisi waumini wenu hatutakubali mtudhalilishe kwa kuwakumbatia wachafu na wauaji , TUTAWAONDOA KWENYE HIVYO VYEO KAMA ILIVYOWAHI KUTOKEA HAPO AWALI , JIHESHIMUNI
View attachment 2831702View attachment 2831703
Makondo anayatumia vizuri mafundisho aliyopata kwa Marehemu Magufuli, na afuata nyayo zake. Viongozi wa dini wanao mfanyia Maombi na Dua ni wale wale waliokuwa wa Marehemu. Pia kuna wale wagangq aliokuwa akiwabeba na kuwapeleka Ikulu wakati wa awamu ya 5, nao kuna wengine bado nao wanamsaidia. Tusimshangae huo ndio utamaduni.Kiukweli sijawahi kuona mtu anayetaka kuombewa na kila dhehebu, huyu ni wa kwanza , yaani ukivaa msalaba au Baraghashia , au ukishika Tasbih au Rozali basi atakuvamia umuombee!
Kwanini anataka aombewe na kila mtu , alitenda Makosa gani? Je ni mzima au amepata matatizo ya Ubongo , hivi hawa wanadamu anaotaka wamuombee wenyewe ni waadilifu kiasi gani?
Kwa Mujibu wa Maandiko Matakatifu , Njia pekee ya kusamehewa na Mungu ni kukiri makosa hadharani na kuwaomba radhi kwa mdomo wako wote uliowakosea , vinginevyo ni sawa kutwanga maji kwenye kinu .
Angalizo kwa viongozi wa dini , na angalizo hili mlizingatie , si kila mtu ni wa kukaribishwa mazabauni , mkiendelea hivi mtakumbana na adhabu ya Mungu waziwazi.
Hata sisi waumini wenu hatutakubali mtudhalilishe kwa kuwakumbatia wachafu na wauaji , TUTAWAONDOA KWENYE HIVYO VYEO KAMA ILIVYOWAHI KUTOKEA HAPO AWALI , JIHESHIMUNI
View attachment 2831702View attachment 2831703
Nafsi inamsuta kila anapokwenda anaona mambo bado ......malue lue ni yale yale.Hakuna upako bila kufanya toba ya kweli. Na toba ya kweli, kwanza ni kuwapigia magoti uliowadhulumu, ndipo uende nyumbani mwa bwana kuupata utakaso. Vinginevyo, anavyozidi kuwafool viongozi wa dini, anazidi kuchota laana badala ya baraka.
😆😆😆😆Kamuulize mama yako
Zaidi ya kulialia bado hujajibu tulichouliza .Kwani wewe dini moja na Huyu Mheshimiwa? Unamiliki mpaka maisha yake na kiroho na kisiasa? We ni Chadema. Demokrasia na maendeleo. Je unaheshimu uhuru na nafasi ya Wenzako? Je huna sera za kumwagia watu kuhusu Chama chako?
Normally Hakuna mtu timamu, tajiri na mfia Chadema Kama wewe angeweza poteza muda wake na resources kumwandika mtu who is a non entity katika mada zake. Why unahangaika sana mkuu. Unajua kuna love -hate relationship. Unatuthibitishia hapa Kwa maandiko yako. Hulali, unaandika sana kuhusu makonda kiasi hata Sisi wengine hatujui tena Kama Mheshimiwa Mbowe yupo. Nani Katibu mwenezi wa CHadema. Je Jana na juzi na majuzi alikuwa wapi?
Wadau mpeni namba ya Mheshimiwa Mwenezi wa CCM apunguze jakamoyo la mahaba yake Hata kwa kusikia sauti. Mahaba ya kishabiki. Hongera kwa kuwa katibu muhtasi wa mwenezi.
Mwisho KUMBUKA huyu ni mwanasiasa na Kama Kikwete alimwona na kumpa nafasi ujue Ana uzoefu katika Siasa za Bongo. Hujui hata mazingira yatokanayo. Usimpangie Labda Kama utachange status yako.
Umewahi ona kesi ya jinai inafunguliwa na raiaAcheni kulopoka lopoka, kachukueni ushahidi mfungue kesi kilamtu atawaunga mkono.
Sent from my Infinix X6511B using JamiiForums mobile app
Acha ujinga na amka usingizini. Watu wanaandika ili nyie mliolala na kuota ndoto ndefu kama hii mzinduke.Kwani wewe dini moja na Huyu Mheshimiwa? Unamiliki mpaka maisha yake na kiroho na kisiasa? We ni Chadema. Demokrasia na maendeleo. Je unaheshimu uhuru na nafasi ya Wenzako? Je huna sera za kumwagia watu kuhusu Chama chako?
Normally Hakuna mtu timamu, tajiri na mfia Chadema Kama wewe angeweza poteza muda wake na resources kumwandika mtu who is a non entity katika mada zake. Why unahangaika sana mkuu. Unajua kuna love -hate relationship. Unatuthibitishia hapa Kwa maandiko yako. Hulali, unaandika sana kuhusu makonda kiasi hata Sisi wengine hatujui tena Kama Mheshimiwa Mbowe yupo. Nani Katibu mwenezi wa CHadema. Je Jana na juzi na majuzi alikuwa wapi?
Wadau mpeni namba ya Mheshimiwa Mwenezi wa CCM apunguze jakamoyo la mahaba yake Hata kwa kusikia sauti. Mahaba ya kishabiki. Hongera kwa kuwa katibu muhtasi wa mwenezi.
Mwisho KUMBUKA huyu ni mwanasiasa na Kama Kikwete alimwona na kumpa nafasi ujue Ana uzoefu katika Siasa za Bongo. Hujui hata mazingira yatokanayo. Usimpangie Labda Kama utachange status yako.
Hujui lolote!Makonda anawakosesha usingizi. Chama chenu kimekosa mwelekeo mmebaki kudandia vitukio. Mwenzenu zitoo anachanja mbuga nyie mmebaki kujifariji eti Chama kikuu Cha upinzani. Zilipindwe
Makonda' dishi limeyumbaKiukweli sijawahi kuona mtu anayetaka kuombewa na kila dhehebu, huyu ni wa kwanza , yaani ukivaa msalaba au Baraghashia , au ukishika Tasbih au Rozali basi atakuvamia umuombee!
Kwanini anataka aombewe na kila mtu , alitenda Makosa gani? Je ni mzima au amepata matatizo ya Ubongo , hivi hawa wanadamu anaotaka wamuombee wenyewe ni waadilifu kiasi gani?
Kwa Mujibu wa Maandiko Matakatifu , Njia pekee ya kusamehewa na Mungu ni kukiri makosa hadharani na kuwaomba radhi kwa mdomo wako wote uliowakosea , vinginevyo ni sawa kutwanga maji kwenye kinu .
Angalizo kwa viongozi wa dini , na angalizo hili mlizingatie , si kila mtu ni wa kukaribishwa mazabauni , mkiendelea hivi mtakumbana na adhabu ya Mungu waziwazi.
Hata sisi waumini wenu hatutakubali mtudhalilishe kwa kuwakumbatia wachafu na wauaji , TUTAWAONDOA KWENYE HIVYO VYEO KAMA ILIVYOWAHI KUTOKEA HAPO AWALI , JIHESHIMUNI
View attachment 2831702View attachment 2831703
Asante sanaMakondo anayatumia vizuri mafundisho aliyopata kwa Marehemu Magufuli, na afuata nyayo zake. Viongozi wa dini wanao mfanyia Maombi na Dua ni wale wale waliokuwa wa Marehemu. Pia kuna wale wagangq aliokuwa akiwabeba na kuwapeleka Ikulu wakati wa awamu ya 5, nao kuna wengine bado nao wanamsaidia. Tusimshangae huo ndio utamaduni.
Kama ww ulivyo mpumbavu!! Yaani unashangaa ya bashite ila ya dikteta mbowe haushangai!Swali lako ni la kijinga
Mwee hadi waganga?Makondo anayatumia vizuri mafundisho aliyopata kwa Marehemu Magufuli, na afuata nyayo zake. Viongozi wa dini wanao mfanyia Maombi na Dua ni wale wale waliokuwa wa Marehemu. Pia kuna wale wagangq aliokuwa akiwabeba na kuwapeleka Ikulu wakati wa awamu ya 5, nao kuna wengine bado nao wanamsaidia. Tusimshangae huo ndio utamaduni.
Umemaliza kila kituAcha ujinga na amka usingizini. Watu wanaandika ili nyie mliolala na kuota ndoto ndefu kama hii mzinduke.
Wewe unadhani kuna toba yakweli kwenda na kamera za Wasafi na Cloud?
Kwanza unasamehewaje dhambi kwa kumuomba Pengo au Malasusa? Viongozi hao wa dini wanajua misingi ya kuomba toba ikoje! Mtafute uliyemkosea uanze naye kabla ya kumgeukia Mungu. Ukishindwa omba hadharani kwanza sio kwenda kwa hao watumishi wa kanisa cum wanasiasa pia.
Makonda ni Tapeli wa kisiasa wa level ya chini sana, labda kwa vile utapeli wa Dunia ya sasa lazima uwe na elimu pia
Sent from my SM-A125F using JamiiForums mobile app
Vilaza mnafarijiana! Makonda anawazidi na ataendelea kuwatesa sana!Umemaliza kila kitu
Kwani chadema bado ipo hai kweli?[emoji3064]Makonda aipoteze Chadema ! Nadhani ndio siku dunia itakuwa imefika mwisho