Kwani ''Mama'' amemalizana na sisi tuliokuwa tunaitwa ''sukuma gang''; Je, kwa sasa ni zamu ya waliokuwa wanafurahia na kufanya sherehe!

tena ukizingatia SSH ni Muislamu na neno ugaidi ni silaha maalum ulimwenguni inayotumiwa na mabeberu dhidi ya waislamu [emoji23]mama yupo upande wa mabeberu ...no body in no bady out .kazi ya mama ni moja tu kumsujudia mzungu
 
magufuli legacy awezani nayo zaidi hata jiumiza mwenyewe kwa chuki yake kwenda kuchomwa sindano ya covid hakidhani anamuumiza magufuli na team yake kumbeanajiumiza mwenyewe
 
Mama anacheza Kama Pele,alianza akawapa pipi kwa kumtia nguvuni Sabaya,wakashangilia,alipopiga tikitaka hatari majibu mazuri atatupa yule mwenyekiti wa kudumu.
 
Ukiona mwenzio ananyolewa zako weka maji kujiandaa, Hata hivyo wengi walioumia na kifo Cha anko ni wananchi wa hali ya chini , hata hivyo wanasiasa waliokuwa wanapingana na mjomba walifulahi Sana akiwemo Lema pale aliponukuliwa akimjibu waziri Mkuu was Uingereza kwenye Twitter kuwa hajahuzunika na kifo Cha magufuli na wengi bila kujua kuwa hata baadhi ya wapiga kura wao walikuwa kwenye majonzi makubwa ambapo Chadema na vyama vingine waliungana na baadhi ya wanaccm (wapinga Magu) kufurahia kifo Cha huyu jamaa,, Lakini wenye akili tulijua kuwa Chadema lazma watakuja kuungana na hawa wanyonge siku moja, hata dakika 45 bado kuisha tayari washaungana, Achana na kitu inaitwa maslahi mapana ya kuendelea kushika dola.
 
Kulia kupokezana!
 
Mkuu nakuunga mkono, nami bado nauchungulia mchezo kwa mbali. Ni ukweli kuwa timu moja inatumia $ na ingine CITIZENS, na mchezo ndio unaanza. Mtanange una matokeo ya aina tatu; timu moja KUSHINDA, au SARE au MPIRA KUVUJIKA. Bado nauangalia.
Tuendelee kuangalia huu mchezo wa kisiasa mpaka mwisho!
 
Yaani katiba ''makini'' uipate kwenye nchi za Afrika ambazo zinategemea misaada ili sijiendeshe? Are you kidding me?

Katiba kwa nchi za ulimwengu wa tatu niza kunufaisha wanasiasa na sio wananchi kwa ujumla wake. Hata Katiba ya South Afrika inayodaiwa ni katiba ''nzuri'' inanufaisha wanasiasa na sio wananchi kwa ujumla. Ghana vivyo hivyo.

Hoja yako ni kama mzaha fulani!
 
Mimi haikuwahi hata kusumbua akili yangu kwa sababu haikuwa nguvu ya hoja bali ilikuwa ni kejeli na matusi. Kejeli na matusi hayajawahi kushinda nguvu ya hoja ndio maana kwa sasa husikii tena wakiita MATAGA au Sukuma gang.
 
Enzi za Slaa ccm walikuwa wanakimbia mijadala ila siku hizi chadema ndio inakimbia mijadala!

[emoji23][emoji23][emoji23]
 
mama anaonyesha kisasi chake juu yamagufuli kwa kupeleka tako lake lichomwe sindano ya covid hii mother ni kituko kwa kweli[emoji16][emoji16][emoji23][emoji23]
Dah! Maneno yako ni makali sana!

Punguza ukali wa maneno!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…