Aisee! Kumbe kweli “Sukuma Gang” aka “MATAGA” ni real persons? Nilifikiri ni acronyms za mizaha ya kisiasa tu. Thanks Msemajiukweli for the insight.
Anyways, JPM alipambanua kikubwa maadui wa nje (kina Mbowe + mabeberu) na wa ndani (Msoga Gang?, I presume) na kudhamiria kusambaratisha wote ili kujisafishia njia yake kuelekea kwenye ufalme (uzima?) wa milele! Akatuachia “MATAGA/Sukuma Gang” as a byproduct.
Wakuu sahauni kitu nafuu kwa yeyote. Ajidhaniye amesimama aangalie asianguke, 1 Wakorintho 10:12. Siasa za Tz ndio zimeshatiwa sumu kuvu hivyo. Hakutakuwa na raha tena si kwa MATAGA wala makamanda. It’s a no joy situation. Hizi ni enzi za tribal/family matters, thanks to JPM. Mlioamua kuendelea kumuomboleza, endeleeni kumlilia. Lakini muwe na uhakika Mama SSH atakuwa anashusha mkong’oto kwa zamu: leo kwa makamanda, kesho kwa MATAGA hadi akili ziwakae sawa.
Ndio matunda ya kukataa katiba makini, strong institutions na utawala wa sheria in favor of entrenched personality cults and shtl politics!