Kwanini 99.9% ya waliokamatwa kwa tuhuma za makosa ya Ugaidi ni Waislam?

Dollah ya kiislamu haiwezi kusimama hivyo , kwa sababu hapo ni siasa za pande mbili ikiwa dunia nzima inataka democracy ni mfumo ambao hauwezi kuwa sawa maeneo yote ..

Unapochukua silaha na kuwaua watoto basi umetoka nje ya misingi ya kiislamu .

Dola ya kiislamu inahitaji katika kuzuia uovu , dhulma ,maadili ....

Mvutano wa kisiasa kati ya USA na Russia ni misimamo ya kisiasa , dunia nzima haiwezi kufuata wazungu kwa democracy .

Hao wanagombani maeneo dolla ya kiislamu kwa nchi nzima sio rahisi . Huwezi kusimamisha dola wakati unawaua watoto hapo upo nje ushatoka kweny uislamu kabisa sio lengo ...Dolla ni pamoja ya kuomba mambo mnayotaka ndio maana kuna majimbo hao wanaua watu hawapo kweny misingi ya kiislamu.​
 
Mkuu kila unapocomment kuhusu hawa watu mimi kazi yangu kukugongea like tu.
 
Ugaidi hautokoma kwa sababu hamjui ukweli, na sasa kuna AI ndio kabisa .
Ukweli wa kuimba shahada sio?
H
Kwa asilimia kubwa mafundisho ya quran tukutu yanazalisha magaidi
Salman Rushdie alikiita satan verse.
Kama hii Ayat sio.

[ AT-TAWBA - 29 ]
Piganeni na wasio muamini Mwenyezi Mungu wala Siku ya Mwisho, wala hawaharimishi alivyo harimisha Mwenyezi Mungu na Mtume, wala hawashiki Dini ya Haki, miongoni mwa walio pewa Kitabu, mpaka watoe kodi kwa khiari yao, hali wamet'ii.
 
Dunia bila jazba za dini fulani ilikuwa ni sehemu salama kabisa kuishi.
Dini gani inataka waumini kumsaidia MUNGU wao kulipa kisasi
 
Hakuna namna yeyote unayo weza ifanya kuutenganisha UISLAM na UGAIDI hawa ni ndugu wa damu kabisa
 
Some are Freedom fighters, like Hamas
 
Hayo ndio madhara ya kukarishwa mistali ili upate Cha kubishia mbele za watu lakini hakuna unachoelewa 🚮🚮
 
Mbinguni kuna mabikira 70, mara ukifia dini utakwenda mbinguni na vitu kama hivyo ndivyo vinaleteleza waislamu kuwa magaidi
 
Muhimu tunataka dodoso.

Huku ulikoenda siko. Ni nje ya mada
 
Hakuna namna yeyote unayo weza ifanya kuutenganisha UISLAM na UGAIDI hawa ni ndugu wa damu kabisa
Rejea thread then jibu sawa na swali.

Tunahitaji dodoso. Kwa haya mnavyoongea yanaproof wenyezu walioko ktk public office wanavyoongiza serikali kwa kutumia mihemko baada ya kupata maelezo kutoka kwa viongozi wa imani zenu. Lkn si katiba, bila ya kuongozwa na maslahi ya nchi
 

Pengine ndilo kundi linaloteswa zaidi duniani kwa sababu ni tishio kubwa kwa uhai wa Ukristu feki.

Mwitikio wa kuteswa unaweza kuitwa ugaidi.

Kama ndivyo, basi maana ya ugaidi ichunguzwe upya.
Hawa wanaojilipua kila siku,hawa wanaochoma makanisa,hawa wanaoua watu,Nigeria,Kibiti,Marekani,Ujerumani na kwingineko duniani huku wakisema allahu akbar ni wakrist?
 
Kwa nini wanaoua watu kila siku kote duniani huku wakilitaja jina la allah asilimia kubwa ni waislamu?Wapi wengine wameua wakimsifia Krishna au Yaweh?Kwa nini mazoezi ya mapigano yanafanyiwa kwa nyumba za ibada?Kwa nini muislam mlokole ni tofauti na mkristo mlokole kwa maana ya muislam mlokole anakuwa mshari zaidi,
Kwa nini jumuiya ya waislamu wengi hukandamiza sana wasio wa dini yao?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…