Ni kwasababu SERIKALI inaihujumu Arusha na kuichukia tu bila sababu za msingi Ndio maana haioni haibu kwenda kujenga Stendi mpya singida,chato,na kuiacha Arusha the second City kwa tax and revenue collector hivi kweli hii inaingia Akilini na badala yake SERIKALI inachojua Ni kukusanya mapato Arusha kwenda kujenga flyover,barabara dar na mwanza hatutakubali Tena tumechoka kuhujumiwa hatuoni wivu sehemu zengine kujengwa tunachoumia Ni Kwanini Wanatubagua Arusha pekee ake alafu ukizingatia Ni jiji potentially duniani ,na ki resources na kimapato ,ingetakiwa Arusha kuwe na stend kubwa ya kimataifa na Uwanja mkubwa wa kimataifa ili kusudi watalii wakitoka makwao wanashukia moja kwa moja Arusha na cyo kweli kuwa SERIKALI inashindwa kujenga Uwanja wa ndege wa kimataifa Arusha na Stendi kwa sababu mbona panaendelea kujengwa sehemu zengine lakin Arusha pekee ake Ndio panabaguliwa na kutengwa km vipi Kuna haja ya sisi kuunda Arusha republic ikiwa SERIKALI inaendelea kututenga ili tuijenge Arusha wenyewe