Kwanini asilimia kubwa ya viongozi wanawake wakubwa Serikalini na taasisi zake wengi hawana waume?

Hawana waume kwa sababu wanawake ni wabinafsi kwa asili akisha pata kaelimu au visent kidogo anakuwa jeuri ,dharau ka kibri hivyo hakuna mwana mume wa kuweza kuvumilia hayo na hasa ukizingatia asili ya uumbwaji wa mwanaume
 
Ebu Lete Takwimu
 
Hao ni wafanyakazi kweny Taasisi hata mimi nakubali , ila wenye nyadhifa kubwa wote wana wanaume zao tena wanajielewa sio show off ..Ukianza tu kwa Raisi
 
Unakuwa umeolewa na serikali! Hata kama ana mume muda mwingi Kila mtu anaishi kivyake from my experience.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…