Kwanini baadhi ya wazazi hawapendi watoto wao kuoa 'single mother'?

Mnawaonea hawa single mama bure.
Kama mtu ana tabia yake mbaya anayo tu hata asipokuwa single mama.Kuna wanaojiheshimu na wasiojiheshimu kama ambao hawana watoto.
Shida kubwa ya wazazi ni ile hali ya kuhudumia mtoto asiyekuwa wako
 
Jaman kwa upande wangu n swali tu nimeuliza nasijapotoka kiasi hicho ninawaheshimu wakinamama nimejaribu kuweka huu Uzi ili tupate kujulishana pia kutenganisha maji na mafuta ni yapi huwexi ukamsakama single mum bila kujua dark side n white or clean side nashukur watu wanafunguka na tunaelewa.
Yote ya yote asilimia 75% ya single mum reason behind is the father na haimaanishi ni wabaya la hasha takwimu xinatueleza hapa kuna watu watakao kejel kuwa hawafai kuna watu wataona ni moja ya watu muhimu sana katika maisha yao ivoo
So usifadhaike mkuu penye mamba hats kenge wapo
 
Mnawaonea hawa single mama bure.
Kama mtu ana tabia yake mbaya anayo tu hata asipokuwa single mama.Kuna wanaojiheshimu na wasiojiheshimu kama ambao hawana watoto.
Shida kubwa ya wazazi ni ile hali ya kuhudumia mtoto asiyekuwa wako
Maneno adhwimu sana feitty
Not all are the same [emoji108][emoji108]
 
Pamoja sana mkuu, mimi pia nimecomment generally hususan kwa wale wanao generalize kuwa all single mothers hawafai kuoa.

Be happy mkuu..
 
Hv kati ya gari screpa na mpya ip mtu anayekupenda atakuchagulia.
But sometimes mapenzi ni upofu,ukiacha yatawale maamuzi yako utajikuta umeingia kwenye commitment za ajabu sana.
Single mothers n used n in most cases cheaper.
 
mi nishapiga sana single mom wa kutosha sana usijaribu kuoa nitakupigia tu
 
Hao masingle mother mmewazalisha wenyewe na kuwakimbia, mlitaka waolewe na nani kama si kiumbe anayeitwa mwanaume. Stupid
 
hainaga makombo ,tuwajali na tuwapende tuu wao na watoto wao
 

Hii serikali ya Magu ina kazi kweli kweli, hadi kurudisha unyago?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…